Ummy Mwalimu: 1.4% ya Watanzania bado wanajisaidia vichakani

Ummy Mwalimu: 1.4% ya Watanzania bado wanajisaidia vichakani

Lady Whistledown

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2021
Posts
1,147
Reaction score
2,008
Waziri wa afya amesema kuwa idadi ya Watanzania wanaojisaidia vichakani imepungua kutoka asilimia 5.7 hadi 14 Desemba 2021.

Ameyasema hayo leo Jumatatu, Aprili 11, 2022 wakati akitaja mafanikio yaliyopatikana kupitia kampeni ya Nyumba ni Choo kwenye kilele cha maadhimisho ya miaka mitano ya kampeni hiyo nchini.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
wamesha kuta makimba mangapi yaliyo porini na vichakani.labda anataka kuunganisha na ripoti ya ziwa victoria
 
Duh kweli huyo niwaziri aliyemuambia Mh. Rais upele umepata mkunaji
Akawajengee vyoo ndugu zake wadigo wasijisaidie vichakani
 
Karibu kila mtanzania anajisaidia maporini, mitaani na mabarabarani. Hasa wanaume.
Arekebishe takwimu.
 
Itakua kanda ya ziwa huko ndiyo wanakunya ziwani hadi samaki wanakufa alafu mnawasingizia ng'ombe.
Mimi niko Uchaggani huku watu wanakunya migombani.

Nimepambana kuyalazimisha wajenge vyoo mpaka nimeshindwa.

Yaani jitu limechimba shimo ( mfano wa shimo la taka ) linajisaidia pembeni halafu limasukuma na kijiti. Stupid
 
Back
Top Bottom