Ummy Mwalimu: 1.4% ya Watanzania bado wanajisaidia vichakani

Waziri wa afya amesema kuwa idadi ya Watanzania wanaojisaidia vichakani imepungua kutoka asilimia 5.7 hadi 14 Desemba 2021.

Ameyasema hayo leo Jumatatu, Aprili 11, 2022 wakati akitaja mafanikio yaliyopatikana kupitia kampeni ya Nyumba ni Choo kwenye kilele cha maadhimisho ya miaka mitano ya kampeni hiyo nchini.
yeye kama waziri anashauli nini hii nchi buana kila mtu anashangaaa
 
Waziri wa afya amesema kuwa idadi ya Watanzania wanaojisaidia vichakani imepungua kutoka asilimia 5.7 hadi 14 Desemba 2021.

Ameyasema hayo leo Jumatatu, Aprili 11, 2022 wakati akitaja mafanikio yaliyopatikana kupitia kampeni ya Nyumba ni Choo kwenye kilele cha maadhimisho ya miaka mitano ya kampeni hiyo nchini.
miaka 60 ya uhuru watu bado tunaishi kijima namna hii - yaani ni hivi ukijisaidia kichakani basi lazima uondoke na baadhi ya kinyesi kujipakaza kwenye nguo yako.

CCM mna nini na hii nchi, mbona inazidi kuwa maskini & fukra hadi fikra - hebu iachieni ili mruhusu na mawazo mengine.
 
Waziri wa afya amesema kuwa idadi ya Watanzania wanaojisaidia vichakani imepungua kutoka asilimia 5.7 hadi 14 Desemba 2021.

Ameyasema hayo leo Jumatatu, Aprili 11, 2022 wakati akitaja mafanikio yaliyopatikana kupitia kampeni ya Nyumba ni Choo kwenye kilele cha maadhimisho ya miaka mitano ya kampeni hiyo nchini.
😂😂😂😂 this is Tanzania
 
Katika hiyo 1.4% ya wanaojisaidia vichakani 1.3 ni mashabiki wa simba na 0.1 ni wa azam. Katika makolo hapo wanaongozwa na Scars
 
Halafu tukisha shit Uto mnakuja kuyachukua kwa kuyabulungusha mkayatumie kama material ya jezi zenu

Na ndio maana kuna virangi flani confusing kwenye jezi zenu

1649709858272.png
 
Back
Top Bottom