Pre GE2025 Ummy Mwalimu aanzisha "Amka na Samia Jogging" katika maandalizi ya kumpokea Rais Samia Tanga

Pre GE2025 Ummy Mwalimu aanzisha "Amka na Samia Jogging" katika maandalizi ya kumpokea Rais Samia Tanga

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Anajikomba baada ya kutumbuliwa uwaziri
Mheshimiwa Ummy Mwalimu ni Mtu na kiongozi mnyenyekevu na anayefahamu ya kuwa cheo ni Dhamana.ndio maana anaendelea kumuunga Mkono Mheshimiwa Rais na kumsemea vyema kwa kazi kubwa alizozifanya katika kuwapelekea maendeleo wana Tanga.
 
Mambo ya kijinga ndio yanapewa kipaumbele , ikifika mijadala yenye afya wanaingia mitini.

Aliyepewa jina la hizo mbio hatujawahi kumuona hata siku moja akifanya mazoezi ya kukimbia zaidi ya kunenepeana tu bila mpangilio.
images - 2024-12-28T185328.396.jpeg
 
Mambo ya kijinga ndio yanapewa kipaumbele , ikifika mijadala yenye afya wanaingia mitini.

Aliyepewa jina la hizo mbio hatujawahi kumuona hata siku moja akifanya mazoezi ya kukimbia zaidi ya kunenepeana tu bila mpangilio.
View attachment 3244248
Uwe na adabu na siyo kuropoka ovyo ovyo tu hapa kama mlevi wa gongo.
 
Adabu ni nini?

Kampeni za kitapeli zinazogharamiwa kwa kodi za wananchi kumtangaza huyo mama yenu badala ya kuzitumia kwa shughuli zenye tija mnaona ndio akili?
Rais Samia ni kama maji usipoyanywa utayaoga tuuu
 
Ndugu zangu Watanzania,

Mheshimiwa Ummy Mwalimu ambaye alikuwa na amehudumu katika wizara mbalimbali hapa Nchini ikiwepo Wizara ya Afya .ambayo alikuwepo kama Waziri wake mara ya mwisho kabla ya kufanyika kwa mabadiliko madogo ya baraza la Mawaziri.
Ameshamtosa Bumbuli ama kweli tumbo baya sana
 
Kuacha umbea siwezi, bora niache kula.....Kwa nini aliondolewa barazani?
Kwa sababu cheo ni Dhamana na ni jambo la kawaida katika utumishi . Na yeye siyo mtu wa kwanza na hatakuwa wa Mwisho. Na anaweza kurejeshwa pia kama ambavyo imetokea kwa wengine katika Historia ya Taifa letu.
 
Sawa odo.
 
Back
Top Bottom