Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
- Thread starter
- #41
Mimi ni Lucas Mwashambwa.Sawa odo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi ni Lucas Mwashambwa.Sawa odo.
Sababu kubwa ni kwa kuwa cheo ni Dhamana. Leo unaweza kuwa Waziri na kesho usiwe Waziri lakini Kesho Kutwa ukarudishwa tena kwenye Uwaziri. Kama ambavyo ilikuwa na kutokea kwa viongozi kama Mheshimiwa Dkt Mwigulu Lameck Nchemba aliyekuwa waziri akatolewa na baadaye akarejeshwa tena na ni waziri mpaka leo.Hivi nini sababu ya Ummy mwalimu kuenguliwa baraza la mawaziri?
Mimi siyo chawa ewe ndugu yangu mtanzania😄😄
Kimsingi TISS wasicheze mbali na huyu kidudu mtu anaitwa UMMY. Huyo ni kirusi mbaya sana.Tabia yake ya kumteta mama kaacha?
Sawa Lucas, Nime understandSababu kubwa ni kwa kuwa cheo ni Dhamana. Leo unaweza kuwa Waziri na kesho usiwe Waziri lakini Kesho Kutwa ukarudishwa tena kwenye Uwaziri. Kama ambavyo ilikuwa na kutokea kwa viongozi kama Mheshimiwa Dkt Mwigulu Lameck Nchemba aliyekuwa waziri akatolewa na baadaye akarejeshwa tena na ni waziri mpaka leo.
Ilikuwa hivyo pia kwa Mheshimiwa George Simbachawene, Mheshimiwa Profesa Palamagamba Kabudi, Mheshimiwa William Lukuvi na wengine wengi ambao sasa ni Mawaziri lakini wamewahi kuwekwa pembeni kwa Muda na kisha wakarejeshwa tena Barazani.
Kwa hiyo katika serikali,uongozi na utumishi kwa Watu ni jambo la kawaida sana ambalo hutokea na kufanyika. Ni kama Timu ya Mpira tu ambapo leo kocha anaweza kukuanzisha kikosi cha kwanza lakini kesho ukawekwa Benchi au usipangwe kabisa hata Benchi.
Kwa hiyo hata Mheshimiwa Ummy Mwalimu Leo siyo Waziri lakini kesho Mheshimiwa Rais anaweza kumrejesha Katika Baraza la Mawaziri .
Kama una swali jingine wewe uliza tu mimi nitakujibu vizuri kabisa.
Mama aTabia yake ya kumteta mama kaacha?
Mama anafanya kazi kubwa sana, ila kazi hizo hazionekaniki pasipotokeza watu wa kuzisemea. Umenikumbusha kisa cha Abdul (sio huyu wa mama) aliyejenga kibanda mbugani akatangaza kuwa amemuona malaika na kuwaalika watu waende kibandani ambamo wangeweza kumuona. Ila aliweka sharti kuwa wenye dhambi wasingeweza kumuona, bali alikuwa anaonekanika kwa wasio na dhambi tu. Basi watu wengi wakaandamana kwenda kibandani wakitaka kumuona malaika. Kila aliyeingia aliona kiti na kandambili tu bali hakuna aliyemuona malaika. Ikawa kila aliyekuwa anatoka kibandani alipoulizwa kama amemuona malaika alijibu kuwa amemuona ili asijeonekana kuwa ana dhambi. Kila mwanaccm anajitahidi kuonesha kuwa anaziona kazi za mama, japo kiuhalisia hazioni, asijeonekana kuwa ni mdhambi (sio mwenzetu). Utumwa ni ugonjwa mbayaNdugu zangu Watanzania,
Mheshimiwa Ummy Mwalimu ambaye alikuwa na amehudumu katika wizara mbalimbali hapa Nchini ikiwepo Wizara ya Afya .ambayo alikuwepo kama Waziri wake mara ya mwisho kabla ya kufanyika kwa mabadiliko madogo ya baraza la Mawaziri.
Amekuja na jambo kubwa kwa wana Tanga. Ambapo amekuja na kitu Kinaitwa "AMKA NA SAMIA JOGGING" .ambapo zoezi hilo litafanyika siku ya kesho ya tarehe 22 Februari. Ni zoezi ambalo ni maalumu katika kunogesha shamrashamra za Mapokezi Mazito ya Mheshimiwa Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan.
Ambaye anatarajiwa kutua na kufanya ziara ya kikazi kuanzia Februari 23. Ambapo Samia Jogging ni Mazoezi ya kukimbia na kufanya mazoezi mengine madogo madogo kama ilivyo kawaida katika kuuweka mwili sawa.
Ikumbukwe ya Kuwa Mheshimiwa Ummy Mwalimu Amekuwa akisisitiza na kuwataka watanzania kujizoesha juu ya ufanyaji wa mazoezi na kuzingatia kanuni za afya tangia akiwa Waziri wetu wa afya. Amekuwa akisisitiza jambo hilo kama ushauri wa wataalamu wa afya unavyosema kuwa kwa kufanya hivyo inasaidia kujikinga na magonjwa yasiyo ambukiza kama vile kisukari , presha n.k.
Utamaduni huo wa kufanya mazoezi bado Mheshimiwa Ummy Mwalimu anaendelea kuusisitiza na kupaza Sauti kwa watanzania. ili wasiupuuze wala kuacha japo yeye yupo nje ya Baraza la mawaziri kama Waziri. lakini bado anatumia nafasi yake kama muwakilishi wa wananchi kuwakumbusha watanzania juu ya ufanyaji wa mazoezi.
Mheshimiwa Ummy Mwalimu Amekuwa Miongoni mwa Viongozi ambao wamekuwa wakimsemea sana Rais Samia awapo jimboni kwake juu ya kazi kubwa zilizofanywa Na Mama yetu Mama Samia. Amekuwa akisema bila kusita wala hofu na kwa mifano na kuonyesha miradi mikubwa ya Elimu, maji,Nishati, miundombinu n.k.iliyofanywa na kutekelezwa na Rais wetu Mpendwa Mama Samia.
Ni kweli Mheshimiwa Ummy Mwalimu ni binadamu kama tulivyo binadamu wengine. Na ni kweli hajakamilika kama ambavyo hakuna Mwanadamu aliyekamilika chini ya jua. Lakini Mnyonge mnyongeni ukweli lazima usemwe kuwa Mheshimiwa Ummy Mwalimu anamsemea sana Mheshimiwa Rais katika kazi mbalimbali alizofanya na kutekeleza.hajawahi kukaa kimya na kuwa bubu katika kumsemea Rais Samia kama ambavyo wengine hufanya wakishatolewa kwenye Uwaziri.
Mheshimiwa Ummy Mwalimu Amekuwa mfano wa Kuigwa katika kauli ya cheo ni Dhamana. Ambapo hata alipoachwa katika baraza la Mawaziri bado ameendelea kuchapakazi vyema na kuwa karibu ya wananchi wake na kuwaelezea yale makubwa ambayo Rais ameyafanya kwa wana Tanga na yale ambayo watarajie kuyapata kutoka kwa Rais Wetu Mpendwa. Ameendelea kuwaomba wana Tanga kuendelea kumuunga mkono na kumuombea Rais Samia.
Ndio Maana tunaona hata katika ziara hii ya Mheshimiwa Rais Mkoani Tanga , Mheshimiwa Ummy Mwalimu yupo mstari wa mbele kabisa katika maandalizi ya Mapokezi mazito ya Mama yetu Mpendwa Mheshimiwa Daktari Mama Samia. Ambapo taarifa zinaonyesha na kudokeza ya kuwa Tanga wanakwenda kuvunja rekodi ya Mapokezi mazito kwa Mheshimiwa Rais tangia amekuwa Rais wetu.
Inaelezwa ya kuwa Wana Tanga wamepania kwelikweli kumlaki na kumpokea Mama kwa kishindoo kikuu kitakacho itetemesha Tanzania Nzima. Wana Tanga wanataka kujiwekea rekodi yao kubwa ya mapokezi na kumwambia Mama kuwa wapo tayari kumpa kura za ndio kwa kishindo kikuu uchaguzi ujao na kwamba asiwe na wasiwasi na wana Tanga.kwa sababu kazi aliyoifanya ya kuwapelekea maendeleo na miradi ya maendeleo wameiona kwa macho yao.View attachment 3244144
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Kwa kushindwa kusimamia MSD na NHIF, hawezi kuachaa kufanya hivyo (Kwa Neema ya mazao ya msd na nhif hawezi kuachaa kufanya hivyo) mpaka mashirika yamekonda bila joggingNdugu zangu Watanzania,

Sasa kawandikia huu ujumbe wana Tanga watafika kweli uwanjani maana watu wa Tanga hawajasoma, wao wanajuwa kukariri Kiarab tu lakini lugha yao hawajuwi kusoma.Ndugu zangu Watanzania,

Kumbe uwaziri mtamu jamani, yaani Ummy ndiyo kazeeka hivi ghafla baada ya kutemwa, ni stress za kutemwa au nini?
Nimegundua leo kumbe id hii ni yake. Kwa uchawa anaoufanya humu, anaweza akafikiriwa tena endapo akipata ubungeWewe pia huu mwaka tafuta kazi ya kufanya sawa
Ummy kapatwa na janga gani jamani, yaani ndiyo kachakaa hivi?
Kazi za Rais Samia zinaonekana vyema kabisa kwa kila mwenye machoMama a
Mama anafanya kazi kubwa sana, ila kazi hizo hazionekaniki pasipotokeza watu wa kuzisemea. Umenikumbusha kisa cha Abdul (sio huyu wa mama) aliyejenga kibanda mbugani akatangaza kuwa amemuona malaika na kuwaalika watu waende kibandani ambamo wangeweza kumuona. Ila aliweka sharti kuwa wenye dhambi wasingeweza kumuona, bali alikuwa anaonekanika kwa wasio na dhambi tu. Basi watu wengi wakaandamana kwenda kibandani wakitaka kumuona malaika. Kila aliyeingia aliona kiti na kandambili tu bali hakuna aliyemuona malaika. Ikawa kila aliyekuwa anatoka kibandani alipoulizwa kama amemuona malaika alijibu kuwa amemuona ili asijeonekana kuwa ana dhambi. Kila mwanaccm anajitahidi kuonesha kuwa anaziona kazi za mama, japo kiuhalisia hazioni, asijeonekana kuwa ni mdhambi (sio mwenzetu). Utumwa ni ugonjwa mbaya
Yake nani?Nimegundua leo kumbe id hii ni yake. Kwa uchawa anaoufanya humu, anaweza akafikiriwa tena endapo akipata ubunge
Ummy bado.amajipendekexa tuuuu?? Hutakiwii kaa pembenii wewe ni empty box .....Ndugu zangu Watanzania,
Mheshimiwa Ummy Mwalimu ambaye alikuwa na amehudumu katika wizara mbalimbali hapa Nchini ikiwepo Wizara ya Afya .ambayo alikuwepo kama Waziri wake mara ya mwisho kabla ya kufanyika kwa mabadiliko madogo ya baraza la Mawaziri.
Amekuja na jambo kubwa kwa wana Tanga. Ambapo amekuja na kitu Kinaitwa "AMKA NA SAMIA JOGGING" .ambapo zoezi hilo litafanyika siku ya kesho ya tarehe 22 Februari. Ni zoezi ambalo ni maalumu katika kunogesha shamrashamra za Mapokezi Mazito ya Mheshimiwa Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan.
Ambaye anatarajiwa kutua na kufanya ziara ya kikazi kuanzia Februari 23. Ambapo Samia Jogging ni Mazoezi ya kukimbia na kufanya mazoezi mengine madogo madogo kama ilivyo kawaida katika kuuweka mwili sawa.
Ikumbukwe ya Kuwa Mheshimiwa Ummy Mwalimu Amekuwa akisisitiza na kuwataka watanzania kujizoesha juu ya ufanyaji wa mazoezi na kuzingatia kanuni za afya tangia akiwa Waziri wetu wa afya. Amekuwa akisisitiza jambo hilo kama ushauri wa wataalamu wa afya unavyosema kuwa kwa kufanya hivyo inasaidia kujikinga na magonjwa yasiyo ambukiza kama vile kisukari , presha n.k.
Utamaduni huo wa kufanya mazoezi bado Mheshimiwa Ummy Mwalimu anaendelea kuusisitiza na kupaza Sauti kwa watanzania. ili wasiupuuze wala kuacha japo yeye yupo nje ya Baraza la mawaziri kama Waziri. lakini bado anatumia nafasi yake kama muwakilishi wa wananchi kuwakumbusha watanzania juu ya ufanyaji wa mazoezi.
Mheshimiwa Ummy Mwalimu Amekuwa Miongoni mwa Viongozi ambao wamekuwa wakimsemea sana Rais Samia awapo jimboni kwake juu ya kazi kubwa zilizofanywa Na Mama yetu Mama Samia. Amekuwa akisema bila kusita wala hofu na kwa mifano na kuonyesha miradi mikubwa ya Elimu, maji,Nishati, miundombinu n.k.iliyofanywa na kutekelezwa na Rais wetu Mpendwa Mama Samia.
Ni kweli Mheshimiwa Ummy Mwalimu ni binadamu kama tulivyo binadamu wengine. Na ni kweli hajakamilika kama ambavyo hakuna Mwanadamu aliyekamilika chini ya jua. Lakini Mnyonge mnyongeni ukweli lazima usemwe kuwa Mheshimiwa Ummy Mwalimu anamsemea sana Mheshimiwa Rais katika kazi mbalimbali alizofanya na kutekeleza.hajawahi kukaa kimya na kuwa bubu katika kumsemea Rais Samia kama ambavyo wengine hufanya wakishatolewa kwenye Uwaziri.
Mheshimiwa Ummy Mwalimu Amekuwa mfano wa Kuigwa katika kauli ya cheo ni Dhamana. Ambapo hata alipoachwa katika baraza la Mawaziri bado ameendelea kuchapakazi vyema na kuwa karibu ya wananchi wake na kuwaelezea yale makubwa ambayo Rais ameyafanya kwa wana Tanga na yale ambayo watarajie kuyapata kutoka kwa Rais Wetu Mpendwa. Ameendelea kuwaomba wana Tanga kuendelea kumuunga mkono na kumuombea Rais Samia.
Ndio Maana tunaona hata katika ziara hii ya Mheshimiwa Rais Mkoani Tanga , Mheshimiwa Ummy Mwalimu yupo mstari wa mbele kabisa katika maandalizi ya Mapokezi mazito ya Mama yetu Mpendwa Mheshimiwa Daktari Mama Samia. Ambapo taarifa zinaonyesha na kudokeza ya kuwa Tanga wanakwenda kuvunja rekodi ya Mapokezi mazito kwa Mheshimiwa Rais tangia amekuwa Rais wetu.
Inaelezwa ya kuwa Wana Tanga wamepania kwelikweli kumlaki na kumpokea Mama kwa kishindoo kikuu kitakacho itetemesha Tanzania Nzima. Wana Tanga wanataka kujiwekea rekodi yao kubwa ya mapokezi na kumwambia Mama kuwa wapo tayari kumpa kura za ndio kwa kishindo kikuu uchaguzi ujao na kwamba asiwe na wasiwasi na wana Tanga.kwa sababu kazi aliyoifanya ya kuwapelekea maendeleo na miradi ya maendeleo wameiona kwa macho yao.View attachment 3244144
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Kwa mwenye macho na asiye na dhambiKazi za Rais Samia zinaonekana vyema kabisa kwa kila mwenye macho
Acha wivu wako hapa wewe. Kwani wewe ni kipofu hadi ushindwe kuona makubwa yaliyofanywa na Mheshimiwa Rais wetu MpendwaMnamfanya Rais kama celebrity sasa.
Haya mambo yanashusha hadhi ya mamlaka ya Urais.
Haya mnayofanya haya tofauti na yanayofanyika North Korea kwa Kim Jong.
Hatuhitaji kumpamba Rais na mapambio, bali tunahitaji kuona utumishi wake kwa watanzania.
Kazi yake Kwa Watanzania ndio inapaswa kumpa mileage na sio kelele za wasanii Kila Kona na nyimbo za mapambio.
Kwa madudu aliyoyafanya NHIF na TAMISEMI acha akongoroke.Kumbe uwaziri mtamu jamani, yaani Ummy ndiyo kazeeka hivi ghafla baada ya kutemwa, ni stress za kutemwa au nini?