kyagata
JF-Expert Member
- Oct 18, 2016
- 13,966
- 26,220
Mabwana wapi hao mkuu?Wanagombania mabwana inasemekana.
Mabwana wapi hao mkuu?Wanagombania mabwana inasemekana.
Wanagombania mabwana inasemekana.
Kama Nape, January walivyomfanyia Jiwe.... Wabaya walivujisha clip zasjui alimfanyeje bi mkubwa wa kizimkazi
Wanagombania mabwana inasemekana.
Yale mapingili utayaweza kaka?Labda sasa ndo nitampata ileshingo hua inanizingua sana
Hatari sanaWanagombania mabwana inasemekana.
Kusukuma mzigo ule naweza mkuu , uponaye karibu nnYale mapingili utayaweza kaka?
Alitoa siri za uko nyuma jinsi walivyokuwa wanarembua macho wakipiga whiskie na wine pamojasjui alimfanyeje bi mkubwa wa kizimkazi
Kwannn isiwepo na Hawana stressYaani watu wazima vile hamu ya kugegedana bado ipo. Acha uongo mkuu
Ummy alitoka na mchepuko wa mama. Yule bosi wa mamaMabwana wapi hao mkuu?
hata kina ole pinda kama hawajasikika
okay, watu maarufu maarufu karibu wote wamepitaPinda kama sijakosea alidondokea pua mchujo wa mwanzo...
Atawekwa kwenye orodha ya wale 10 amfarijiSiku bibi kizimkazi akikata tu moto huenda Ummy akapiga bonge la sherehe pale Tanga mjini. Vigoma vya baikoko vitakesha na kutawala mitaa yote ya mikanjuni, changamane, majani mapana, makorora, kwa michi mpaka huko Raska zone na Tanga beach.
Kuna mengi siyajui, duh!Kwannn isiwepo na Hawana stress