REAL Comrade Kipepe
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 3,707
- 11,777
Nape amepita ma wamekula kitambi?Kama Nape, January walivyomfanyia Jiwe.... Wabaya walivujisha clip za
Nape amepita ma wamekula kitambi?Kama Nape, January walivyomfanyia Jiwe.... Wabaya walivujisha clip za
Naunga mkono Wanawake waondoshwe bungeni ni uchafu takataka kuongo,wa na wanawakeAliyekuwa Mbunge wa Tanga Mjini Ummy Mwalimu Ummy ametupwa nje na chama chake cha CCM kugombea kwa awamu nyingine jimbo la Tanga Mjini na nafasi yake imechukulia na Kassim Baraka
Alidukuliwa simu yake akisema Samia ni mlevi na ana uwezo mdogo voice note akapewa bi Tozo na uwaziri wa Ummy ukaishia hapo.sjui alimfanyeje bi mkubwa wa kizimkazi
Kapita bhanaNape amepita ma wamekula kitambi?
Kuna shida kwa huyo teacher anapenda sana umbea na majungu,, kumbukeni enzi za jiwe ndie huyo alikuwa akigombana sana na katibu mkuu wa wizara yake na jiwe alikuwa anawaanika hadharani na hakuwatenganisha aliwaacha mpaka kieleweke, ila nae mjinga utamtetaje mtu raia namba 1 na ndo kashikilia mpini wa riziki yako,,,Ukaribu wa Ummy na Mother ulimfanya ajisahau kuiishi mipaka ya kazi yake so Kuna eneo akawa anamchukulia chura kiziwi kwa level ya jinsia yake .
Lakini kingine kilichomponza alikuwa mnoko mnoko sana hasa kwa wanawake wenzake so chezea vyote lakini usicheze na nguvu ya mwanamke .
Kilicho kwenye chupi ya mwanamke huwa kina nguvu sana kwenye muktadha wakimaamuzi.
Kuliwa kwake kichwa kumetokana na kutokuizingatia mphaka yake kimamlaka .
Sijui nani yule aliyewahi kusema "Uongozi ni koti la kuazima"
Mabega yalitaka kupita kichwa kupitia msd na nhif.Aliyekuwa Mbunge wa Tanga Mjini Ummy Mwalimu Ummy ametupwa nje na chama chake cha CCM kugombea kwa awamu nyingine jimbo la Tanga Mjini na nafasi yake imechukulia na Kassim Baraka
Aliyekuwa Mbunge wa Tanga Mjini Ummy Mwalimu Ummy ametupwa nje na chama chake cha CCM kugombea kwa awamu nyingine jimbo la Tanga Mjini na nafasi yake imechukulia na Kassim Baraka
Watoto wa Tanga kwa viuno lazima ashinde hiyo battle 🤣🤣Wanagombania mabwana inasemekana.
Sahihi kabisa... ni koti la kuazima aiseeUkaribu wa Ummy na Mother ulimfanya ajisahau kuiishi mipaka ya kazi yake so Kuna eneo akawa anamchukulia chura kiziwi kwa level ya jinsia yake .
Lakini kingine kilichomponza alikuwa mnoko mnoko sana hasa kwa wanawake wenzake so chezea vyote lakini usicheze na nguvu ya mwanamke .
Kilicho kwenye chupi ya mwanamke huwa kina nguvu sana kwenye muktadha wakimaamuzi.
Kuliwa kwake kichwa kumetokana na kutokuizingatia mphaka yake kimamlaka .
Sijui nani yule aliyewahi kusema "Uongozi ni koti la kuazima"
"Muungano ni kama koti, likikubana unalivua" - Amani Abeid KarumeSijui nani yule aliyewahi kusema "Uongozi ni koti la kuazima"
Hizi ndo wanaita za ndaaaaniWanagombania mabwana inasemekana.
Wenye roho mbaya wote hua hawafi mapema jua hili tu,kwakua nguvu ya shetani inawalinda kwakua wanatimiza matakwa yaoSiku bibi kizimkazi akikata tu moto huenda Ummy akapiga bonge la sherehe pale Tanga mjini. Vigoma vya baikoko vitakesha na kutawala mitaa yote ya mikanjuni, changamane, majani mapana, makorora, kwa michi mpaka huko Raska zone na Tanga beach.
Nasikia mama ana wivu kutomfanyia mambo yake yale .wote ni wale jamii ya bulaya + jamesWanagombania mabwana inasemekana.
Inashangaza, ni bora wawe wanateua tu.Kulikuwa na haja gani ya kura za maoni sasa?
Maamuzi yetu Wajumbe yanadharauriwaInashangaza, ni bora wawe wanateua tu.