GE2025 Ummy Mwalimu adondokea pua jimbo la Tanga Mjini, nafasi yake yachukuliwa Kassim Baraka

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Siku bibi kizimkazi akikata tu moto huenda Ummy akapiga bonge la sherehe pale Tanga mjini. Vigoma vya baikoko vitakesha na kutawala mitaa yote ya mikanjuni, changamane, majani mapana, makorora, kwa michi mpaka huko Raska zone na Tanga beach.
 
Atawekwa kwenye orodha ya wale 10 amfariji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…