jimama26 JF-Expert Member Joined Jul 30, 2013 Posts 3,257 Reaction score 4,378 Aug 24, 2025 #61 Isenye said: Hilo limama halina tofauti na jiwe kabisa Click to expand... Tofauti ni kubwa sana. Magu alifanya kwa mapenzi mema ya nchi. Huyu anafanya kwa ubinafsi na kuplease matajiri na waliomshika masikio. Nchi ameifanya ya hovyo. Inaenda kiushambenga na vijembe.
Isenye said: Hilo limama halina tofauti na jiwe kabisa Click to expand... Tofauti ni kubwa sana. Magu alifanya kwa mapenzi mema ya nchi. Huyu anafanya kwa ubinafsi na kuplease matajiri na waliomshika masikio. Nchi ameifanya ya hovyo. Inaenda kiushambenga na vijembe.
Odense JF-Expert Member Joined Nov 3, 2020 Posts 2,708 Reaction score 3,551 Aug 24, 2025 #62 Kamundu said: View attachment 3450724 Hivi kura ni za nini? CCM mnakubali vitu huu msukule hata ndani hamna haki Click to expand... Aisee [emoji28]
Kamundu said: View attachment 3450724 Hivi kura ni za nini? CCM mnakubali vitu huu msukule hata ndani hamna haki Click to expand... Aisee [emoji28]
bro alex JF-Expert Member Joined Jul 15, 2025 Posts 1,889 Reaction score 2,294 Aug 24, 2025 #63 Asipaniki Kuna makatibu, mawaziri wabunge wa kuchagiliwa ukuu wa mikoa na mengineyo awe na subira tu hawezi kosa pote watachomekwa tu Fullstop, kwishaaa
Asipaniki Kuna makatibu, mawaziri wabunge wa kuchagiliwa ukuu wa mikoa na mengineyo awe na subira tu hawezi kosa pote watachomekwa tu Fullstop, kwishaaa
CHIEF PRIEST JF-Expert Member Joined Dec 13, 2021 Posts 21,737 Reaction score 42,892 Aug 26, 2025 #64 Kamdomo kamemponza odo.