Ummy Mwalimu ana sifa na anastahili kuwa Waziri Mkuu!

Wewe unaleta udigo hapa.
 
Ile wizara yake ya kwanza na hii ya sasa ukiteuliwa kule lazima uonekane unapga kazi hata kama n mvivu ,mfano Mzuri Jafo alikuwa kule yan ipiti wiki umeshamuona kwenye media bt tangu aondoke ktk Ile wizara nimeshamsahau hadi sura lakin kila lazma Ummy nimuone
 
Naona mleta bandiko umesahau kuweka nambari yako ya simu.
 
An elimu hiyo lkn bado hafai kuwa waziri mkuu
 
Badobado sana
 
Cha muhimu Ni results. Unaweza ukawepo hizo wizara na tusione results, ndio maana jafo kulimpwaya. Ninachompendea ummy Kila wizara anayokaa ana deliver kile kinahitajika kufanyika. Anastahili ni mchapakazi Sana na yuko humble, yuko speed na mfuatiliaji wa mambo.
 
Tamisemi tu imemshinda, amejijazia fedha za ufuatiliaji wizarani wakati huku LGAs hakuna kitu miradi imedorora, wamekazana na miradi ya uviko ameachana na ile ya maabara, zahanati imesimama
 
Huyu mama safi .,kule Tanga anaupiga mwingi sana pia
#sema hapo tutajaza wanawake kwenye nyanja zote sasa๐Ÿ˜‚
 
Mpaka madarasa yetu ya mkopo yote yapate wanafunzi...yakiwa tupu naye nje!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ