Ummy Mwalimu apiga marufuku kulazimisha watu kuchanja, Watanzania waliochanja wamefika milioni 8.5

Kwani malimao, tangawizi na vitunguu swaumu vimeisha! Hiyo ndiyo dawa ya uhakika kabisa ya huo mlipuko.
I stand with GwajBoy that awepo wasio chanjwa na waliochanjwa hili ikitokea waliochanja wakawa mazimwi basi wasiochanja waendeleze taifa.
 
Watanzania hawataki chanjo ya uviko 19, wanataka dawa za Ukimwi tuu.
 
ASANTE STUDIO. WIKI MBILI ZIKIZOPITA ALITUAMBIA WALIOCHANJA NI LAKI SABA NUKTA 8. LEO NI MIL 8. ! IKO VYEDI HII
KAZI IENDELEE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…