Ummy Mwalimu awatumbua Mkurugenzi wa Temeke (Mwakabibi) na Mkurugenzi wa Sumbawanga (Msemakweli)

Bwana Lusubilo Mwakabibi DED - TEMEKE, Amesimamishwa rasmi kupisha uchunguzi.

Ni aibu kwa maafisa wa TISS mnaoteuliwa kwenda kuongoza ofisi za Umma, mkageuka waharibifu. Kumbukeni viapo vyenu na miiko ya kazi yenu.

Kumbe jamaa ni TISS? Ndio maana alikuwa mbabe sana...Kufukuza na kufunga waandishi wa habari.
 
Huyu jamaa alilalamikiwa sana,yaonekana jiwe alimlinda na alipenda watu wa aina yake.
 
Huyu pimbi lazima aonane na Pilato kabla ya August 30. Nimesikia maagizo ya PM Majaliwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…