Zogwale
JF-Expert Member
- Jul 10, 2008
- 15,295
- 10,928
Takukuru watakuwa wameshazitia pingu.Hao kufukuzwa haisaidi
Si ajabu akaunti zao zimenona
Ova
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Takukuru watakuwa wameshazitia pingu.Hao kufukuzwa haisaidi
Si ajabu akaunti zao zimenona
Ova
Siku akimtumbua mkurugenzi wa BAHI nitakubaliana na wewe.Naona ummy hataki masihara
Ova
Ni mshenzi sn huyu DEDHuyo wa TEMEKE ndiye aliyekuwa anawajibu vibaya waandishi wa habari, mara awaweke ndani.. Huyo DED alikuwa na jeuri na kiburi.
Hapo atakuwa ameingia chumbani kwa baba mkwe wakeSiku akimtumbua mkurugenzi wa BAHI nitakubaliana na wewe.
Hakika mkubwa kusoma alama za nyakati ni muhimu, mheshimiwa Rais Samia ashawaambia msiongoze kwa mabavu.Huyu Mwakibibi lazima atakuwa mtu mjinga sana.
Hakusoma alama za nyakati hata baada ya Mama Samia kutoa onyo.
Kumbe ni wa ukanda uke?Huyu Msemakweli ni jirani yangu hapa Mwanza. Ngoja nikaangalie kwake kama amerudi nikampe pole ya kazi.
Nimefurahi haswaa[emoji16][emoji16][emoji3][emoji3]natamani aondolewe kabisa..shenzi huyuu!Huyo Mwakababu sasa akauze gongo.
Duh kumbe ni muuaji. Kuna watu wakipewa vyeo wanajikuta miungu watu.Nimefurahi haswaa[emoji16][emoji16][emoji3][emoji3]natamani aondolewe kabisa..shenzi huyuu!
Alisababisha mwl ajinyonge huyu!kamuingizia 70ml kwenye akaunti baada akamkana mkuu wa shule akajinyonga kuogopa kufungwa...!!
Naungana na maelezo yako.... inaonesha jinsi vetting system ilivyo ya hovyo!
Daah maisha ni kutafuta na siyo kutafutana, huyo Mwakabibi alikuwa jeuri mno mpaka kajisahau kuwa yeye siyo mtumishi.
Mkuu kama ulichokisema hapa ni kweli basi ni moja ya makosa makubwa yaliyofanyika katika nchi hii maana watu hao kuwapa nafasi hizi kumewafanya wasitimize majukumu yao ipasavyo badala yake walitimuza kwa kujipendekeza na upendeleo ili wapate teuzi.Bwana Lusubilo Mwakabibi DED - TEMEKE, Amesimamishwa rasmi kupisha uchunguzi.
Ni aibu kwa maafisa wa TISS mnaoteuliwa kwenda kuongoza ofisi za Umma, mkageuka waharibifu. Kumbukeni viapo vyenu na miiko ya kazi yenu.