chiembe JF-Expert Member Joined May 16, 2015 Posts 16,859 Reaction score 28,112 Jun 18, 2021 #1 Katika maamuzi ya kushangaza ya mwendazake, yaliyofanywa bila consultation, ni lile la kuvunja Jiji la Dar es Salaam, na kuifanya eti Ilala ndio Jiji. Mh. Ummy, mshauri Mh. Rais aagize consultation kwanza kwa lengo la kufuta uamuzi huo.
Katika maamuzi ya kushangaza ya mwendazake, yaliyofanywa bila consultation, ni lile la kuvunja Jiji la Dar es Salaam, na kuifanya eti Ilala ndio Jiji. Mh. Ummy, mshauri Mh. Rais aagize consultation kwanza kwa lengo la kufuta uamuzi huo.