Jerry94
JF-Expert Member
- Mar 2, 2016
- 334
- 545
Moja kwa moja kwenye mada tajwa hapo juu. Kumekuwa na makosa yanayojirudiarudia kila ajira zinapotangazwa. Ingawa kwasasa wamejitahidi sana kupunguza hilo, sijui ni mradi wa 'wakubwa' au ni makosa ya 'system'?.
Mosi, mtu mmoja kupata ajira mara mbili ndani ya miaka mitatu, katika sekta/kada ileile. Je, ni 'system' au mradi wa watu(wakubwa) kutengeneza ajira feki ili wajiripe mishahara hewa? Ebu tuangalie mfano huu.
Kuna mtu anaitwa 'Shafii Nassor Kibichi' mwenye namba ya utambulisho S0101-0409 aliajiriwa mwaka 2019 katika ajira mbadala za watu zaidi ya 4000. Aliajiriwa mkoa wa Kilimanjaro wilaya ya Moshi katika shule ya sekondari Ghona. Alipangiwa kufundisha Physics na Chemistry. Lakini cha ajabu mtu huyohuyo amekuja kupata tena ajira mwaka huu akipangiwa Kigoma kwa masomo yaleyale kilichobafilika ni mpangilio yaani huku imeanza Chemistry na kufuatiwa na Physics. Nime'kopi' na ku'pesti' hapa chini uthibitisho huo.
'3986 SHAFII NASSOR KIBICHI S0101-0409/2012 M PHYSICS CHEMISTRY KILIMANJARO MOSHI GHONA SHAHADA SEKONDARI' hii ni ya 2019.
'
5952 SHAFII NASSOR KIBICHI M S0101-0409/2012 CHEMISTRY, PHYSICS KIGOMA KIGOMA DC MKABOGO SECONDARY 2019 Bachelor Degree Education (Science) Secondary'
Pili, Jina moja kutokea zaidi ya mara moja. Kuna muajiriwa anaitwa Christina Edward Luhunga ametokea mara mbili kwenye mkoa mmoja na wilaya moja isipokuwa shule kunautofauti Kama inavyooneka hapo chini
'4115 CHRISTINA EDWARD LUHUNGA F S2324-0013/2010 BIOLOGY, CHEMISTRY KIGOMA KASULU DC MAYONGA SECONDARY 2016 Bachelor Degree Education (Science) Secondary
4116 CHRISTINA EDWARD LUHUNGA F S2324-0014/2010 BIOLOGY, CHEMISTRY KIGOMA KASULU DC NYAKITONTO SECONDARY 2016 Bachelor Degree Education (Science) Secondary'
Kama hapo juu mnavyoona kiuhalisia Kuna shule mbili zitakosa walimu hao, kwasababu walimu hawa hawatoweza kuhudumu zaidi ya kituo kimoja.
Sasa hapo sijui ni uzembe wa nani 'system'au watendaji.
Pamoja na pongezi zinaendelea kutolewa tukumbuke watoto hawa wamekosa walimu kwa uzembe huu. Sasa sijui watapeleka walimu wapya au Itakuwaje.
Kwa wachambuzi mnaweza kuendelea kutambua makosa na kusaidia kurekebisha!
Wanasema #kaziiendeleee