Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na Jamaa alikuwa na bahati kweli kavuta jiko na ajira ikamfuata. Lakina pia mwaka wa kumaliza chuo ni 2018 na si 2019 Kama ilivyoandikwa.Case 2 ziko hivi.
1-jamaa licha ya kuajiriwa,aliweka ajira yake kifichoni,hata nduguzake waliamini bado hajaajiriwa,na ndipo mjoomba wake wa bunju akaamua kumsaidia koneksheni.Hivi nnavyozungumza mjombaake shafii ameghafilika na watakuwa na kikao cha familia siku ya kesho.Nitawapa update kwalolote atakaloamua mjomba
2-hii ya dada Chistina iko ivi,Alikuwa anajitolea Mayonga sec,ila ilipokuja kujaza shule ya kufundisha kama tangazo lilivyoagiza,alichagua Nyakitonto.walimu wa Mayonga waliweka jina lake la kwanza kwa watu wanaojitolea,kiukweli mchapishaji alichoka sana maana alitoka kwenye sguhuri ya dadayake so hakuakiki majina vizuri.nitawafahamisha ngojeni nimeitwa maramoja
Mkuu Kwa issue ya Christina kitu ambacho nimekiona hapo majina matatu yanayofanana namba tofauti za kufanyia mitihani, S2314-0013 na S2314-0014 labda tuamini hawa ni watu wawili tofauti waliosoma shule moja ya sekondari na kusoma digrii ya aina moja auMoja kwa moja kwenye mada tajwa hapo juu. Kumekuwa na makosa yanayojirudiarudia kila ajira zinapotangazwa. Ingawa kwasasa wamejitahidi sana kupunguza hilo, sijui ni mradi wa 'wakubwa' au ni makosa ya 'system'?.
Mosi, mtu mmoja kupata ajira mara mbili ndani ya miaka mitatu, katika sekta/kada ileile. Je, ni 'system' au mradi wa watu(wakubwa) kutengeneza ajira feki ili wajiripe mishahara hewa? Ebu tuangalie mfano huu.
Kuna mtu anaitwa 'Shafii Nassor Kibichi' mwenye namba ya utambulisho S0101-0409 aliajiriwa mwaka 2019 katika ajira mbadala za watu zaidi ya 4000. Aliajiriwa mkoa wa Kilimanjaro wilaya ya Moshi katika shule ya sekondari Ghona. Alipangiwa kufundisha Physics na Chemistry. Lakini cha ajabu mtu huyohuyo amekuja kupata tena ajira mwaka huu akipangiwa Kigoma kwa masomo yaleyale kilichobafilika ni mpangilio yaani huku imeanza Chemistry na kufuatiwa na Physics. Nime'kopi' na ku'pesti' hapa chini uthibitisho huo.
'3986 SHAFII NASSOR KIBICHI S0101-0409/2012 M PHYSICS CHEMISTRY KILIMANJARO MOSHI GHONA SHAHADA SEKONDARI' hii ni ya 2019.
'
5952 SHAFII NASSOR KIBICHI M S0101-0409/2012 CHEMISTRY, PHYSICS KIGOMA KIGOMA DC MKABOGO SECONDARY 2019 Bachelor Degree Education (Science) Secondary'
Pili, Jina moja kutokea zaidi ya mara moja. Kuna muajiriwa anaitwa Christina Edward Luhunga ametokea mara mbili kwenye mkoa mmoja na wilaya moja isipokuwa shule kunautofauti Kama inavyooneka hapo chini
'4115 CHRISTINA EDWARD LUHUNGA F S2324-0013/2010 BIOLOGY, CHEMISTRY KIGOMA KASULU DC MAYONGA SECONDARY 2016 Bachelor Degree Education (Science) Secondary
4116 CHRISTINA EDWARD LUHUNGA F S2324-0014/2010 BIOLOGY, CHEMISTRY KIGOMA KASULU DC NYAKITONTO SECONDARY 2016 Bachelor Degree Education (Science) Secondary'
Kama hapo juu mnavyoona kiuhalisia Kuna shule mbili zitakosa walimu hao, kwasababu walimu hawa hawatoweza kuhudumu zaidi ya kituo kimoja.
Sasa hapo sijui ni uzembe wa nani 'system'au watendaji.
Pamoja na pongezi zinaendelea kutolewa tukumbuke watoto hawa wamekosa walimu kwa uzembe huu. Sasa sijui watapeleka walimu wapya au Itakuwaje.
Kwa wachambuzi mnaweza kuendelea kutambua makosa na kusaidia kurekebisha!
Wanasema #kaziiendeleee
Tutafanya nini mkuu? kuwakumbusha Kama hivi huenda ikasaidia. Maana suala la uwajibikaji inapotokea makosa kwa viongozi wa Afrika haipo!Hii nchi ni kizazi cha nyoka nkuu, system ina madudu mengi. Mwaka jana kuna mwamba anaitwa Abdala Shombe alijitokeza mara 196[emoji15]
Ingekua kuna uwajibikaji kama nchi za wenzetu,TAMISEMI ya Ummy na msambaa mwenzake Shemdoe karibu wa wizara wangeshaliwa vichwa.MHESHIMIWA WAZIRI SALAM
awali yote nipende kukupongeza kwa Kazi nzito unayoifanya Mheshimiwa Waziri Mungu akupe nguvu na hekima
Mheshimiwa Waziri utakapopata muda Tafadhari naomba upitie tena PDF ya ajira za walimu kuna mambo hayajakaa vizuri kiasi kwamba yamezusha mjadala hususani sisi tuliokosa
Mheshimiwa Waziri
Kuna Mwalimu namba 4115 na Namba 4116 Christina Edward Luhunga Index number S2324-0013/2010 na S2324-0014/2010 Kapangwa Kigoma wilaya Kasulu Dc
Index number S2324-0023 Kapangwa Mayonga Sekondari na
S2324-0014 Kapangwa Nyakitonta Shule ya Sekondari
Mheshimiwa Waziri mwingine ni Mwalimu namba 6571 NICHOLOUS DEUSDEDITH index number S0660-1409/2019 Mwalimu wa Physics na Biology Shida iko hapo kwenye taaluma yake Diploma yake ya ualimu kapata kwa wakati mmoja na Elimu ya Kidato cha Nne ? Na Kama ndiyo hivyo huo mfumo ulianza lini ?
Mheshimiwa Waziri mtu mwingine ni walimu Namba
5919 mwenye index number S4507-0035/2014
Namba 5857 index number S4166-0038/2014
Namba 5798 index number S1183-0035/2014
Namba 5791 index number S4463-0023/2014
Hao ni baadhi tu niliowaona mheshimiwa Hawa walimu ni walimu wa degree kwa Masomo yao
Mheshimiwa shida yangu na Hawa walimu ni kwamba wamemaliza Bachelor degree of education 2019 kitu ambacho siyo ukweli
Kwani walimu Hawa 2015 -2016 ni Kidato cha tano
2016 - 2017 ni Kidato cha sita
CHUO
Mwaka wa kwanza ni
2017- 2018
Mwaka wa pili
2018-2019
Mwaka wa tatu
2019-2020
Maana yake ni kwamba ofisi inatudanganya sisi kuwa Hawa watu wamemaliza Bachelor degree 2019 kitu ambacho siyo ukweli na hakuna Tanzania hii degree ya miaka miwili Mheshimiwa Waziri naomba uliangalie hilo
Kwa mjibu wa professor Karibu mkuu amesema wamechukua mwisho 2019 sasa hao wanatafuta nini ?
Mheshimiwa Waziri naomba hilo suala liangaliwe upya Watu tunakosa fursa kumbe Kuna watu wanapeana tu kindugu
Naomba kuwakilisha
Nategemea feedback mheshimiwa Waziri
Kama una account twiter tuma hii lazima kuna shida mahaliMoja kwa moja kwenye mada tajwa hapo juu. Kumekuwa na makosa yanayojirudiarudia kila ajira zinapotangazwa. Ingawa kwasasa wamejitahidi sana kupunguza hilo, sijui ni mradi wa 'wakubwa' au ni makosa ya 'system'?.
Mosi, mtu mmoja kupata ajira mara mbili ndani ya miaka mitatu, katika sekta/kada ileile. Je, ni 'system' au mradi wa watu(wakubwa) kutengeneza ajira feki ili wajiripe mishahara hewa? Ebu tuangalie mfano huu.
Kuna mtu anaitwa 'Shafii Nassor Kibichi' mwenye namba ya utambulisho S0101-0409 aliajiriwa mwaka 2019 katika ajira mbadala za watu zaidi ya 4000. Aliajiriwa mkoa wa Kilimanjaro wilaya ya Moshi katika shule ya sekondari Ghona. Alipangiwa kufundisha Physics na Chemistry. Lakini cha ajabu mtu huyohuyo amekuja kupata tena ajira mwaka huu akipangiwa Kigoma kwa masomo yaleyale kilichobafilika ni mpangilio yaani huku imeanza Chemistry na kufuatiwa na Physics. Nime'kopi' na ku'pesti' hapa chini uthibitisho huo.
'3986 SHAFII NASSOR KIBICHI S0101-0409/2012 M PHYSICS CHEMISTRY KILIMANJARO MOSHI GHONA SHAHADA SEKONDARI' hii ni ya 2019.
'
5952 SHAFII NASSOR KIBICHI M S0101-0409/2012 CHEMISTRY, PHYSICS KIGOMA KIGOMA DC MKABOGO SECONDARY 2019 Bachelor Degree Education (Science) Secondary'
Pili, Jina moja kutokea zaidi ya mara moja. Kuna muajiriwa anaitwa Christina Edward Luhunga ametokea mara mbili kwenye mkoa mmoja na wilaya moja isipokuwa shule kunautofauti Kama inavyooneka hapo chini
'4115 CHRISTINA EDWARD LUHUNGA F S2324-0013/2010 BIOLOGY, CHEMISTRY KIGOMA KASULU DC MAYONGA SECONDARY 2016 Bachelor Degree Education (Science) Secondary
4116 CHRISTINA EDWARD LUHUNGA F S2324-0014/2010 BIOLOGY, CHEMISTRY KIGOMA KASULU DC NYAKITONTO SECONDARY 2016 Bachelor Degree Education (Science) Secondary'
Kama hapo juu mnavyoona kiuhalisia Kuna shule mbili zitakosa walimu hao, kwasababu walimu hawa hawatoweza kuhudumu zaidi ya kituo kimoja.
Sasa hapo sijui ni uzembe wa nani 'system'au watendaji.
Pamoja na pongezi zinaendelea kutolewa tukumbuke watoto hawa wamekosa walimu kwa uzembe huu. Sasa sijui watapeleka walimu wapya au Itakuwaje.
Kwa wachambuzi mnaweza kuendelea kutambua makosa na kusaidia kurekebisha!
Wanasema #kaziiendeleee
Uliza kwa nini kuna watu wa 2012 wakati miaka hiyo watu wote walikuwa wanaajiriwa?,Huyu mtu namfahamu na amehitimu 2018 na SI 2019 Kama ilivyoandikwa. Kuhusu kutoripoti na muajiriwa tena hata Kama masomo yanakubeba namna gani bado kunawahitimu wengi wenye masomo husika na hawajaajiriwa. Wewe unaona ni sawa hiyo?