Uchaguzi 2020 Ummy Mwalimu ndio Mbunge Anaetufaa Tanga Mjini 2020

Gai da seboga

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2019
Posts
515
Reaction score
1,015
Habari wana JF.

Katika makosa waliofanya wananchi wa tanga mjini mwaka 2015 n kumpa ubunge mtu ambae haguswi ata na kero za wananchi wake, kumekuwa na mbunge jina tuu, mbunge anashindwa ata kuchangia hoja za msingi bungeni kwa maslah ya wananchi wake, leo hii ni aibu unaweza kuta mkazi wa tanga mjini lakini hamjui ata jina mbunge wake... Wana tanga tumekuwa nyuma zaidi kimaendeleo miaka 5 mfululizo.

Wana Tanga sasa imetosha ni wakati wa kutofanya makosa tena 2020, tunataka mtu atakaeguswa na changamoto za wananchi wake, tunataka mtu shupavu, mwajibikaji, mwenye roho ya huruma, mwenye weledi wa hali ya juu haya yote anayo dada etu UMMY MWALIMU.

Katika ubunge tu wa viti maalum alokuwa nao keshafanya mambo makubwa kutoa sapoti kubwa katik timu yetu ya coastal union, kutoa vifaa mbalimbal ikiwemo kompyuta kwa wakuu wa shule, kufadhili wadada waliofeli wasome tena QT, ni mtu anaeguswa na changamoto mbalimbali za kijamiii na kiuchumi., ni miongoni mwa kiongoz aliekaa kwenye wizara bila kutumbuliwa kutokana na uadilifu wake na uwajibikaji.

2020 ni wakati sasa wa kumpa rasmi jimbo la tanga mjini mana ana uthubutu na hari ya kuwaletea maendeleo wana Tanga Mjini, huu sio wakati wa kupepesa macho lazma tupate mtu sahiihi kwa mustakabali wa wananchi wa tanga mjini.

Sisi wananchi tuko tayar ata kumchukulia fomu kwa gharama yoyote ile.

#UmyyIsOurNextMP#TangaMjiniNaUmmy #2020HatufanyiMakosaTena#UmmyAnatutoshaaaa
IMG_20200201_114133_320.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
#UmyyIsOurNextMP#TangaMjiniNaUmmy #2020HatufanyiMakosaTena#UmmyAnatutoshaaaaView attachment 1343112

Sent using Jamii Forums mobile app
Ummy mbona bado mapema umeamua kujipigia debe!
 
Kwakweli Ummy Mwalimu ni mwanamke jasiri sijui sababu anatokea kule kitengoni kwa wasiojulikana.

Ana uthubutu na hekima. Tutamuunga mkono dada yetu Ummy Mwalimu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu huyu dada n jembee hatarr... Anajua kudeal na kero za wananchi, mwajibikaji, hana makuu yaaan kiufupi amekamilika... Umy ndio chachu ya maendeleo ya wana tanga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi hata sielewi kitu.

Naomba ukimuona Ummy, muulize kwamba mshahara wa mbunge ni kiasi gani kwa mwezi?
Je mtoa mada atakugaia?
 
Mkuu hakna cha kupewa hela,, sisi wananch ndio tunamtakaa tunatambua ushapavu wake alonao na tunaamini atatuvusha wana tanga ktk dimbwi la kusindikiza wenzetu ktk maendeleo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom