Ummy Mwalimu: Ruksa Madaktari kutumia hospitali za Serikali kama private clinic baada ya muda wa kazi

Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu ametoa ruhusa rasmi kwa Madaktari nchini walioajiriwa na serikali kufanya kazi Binafsi kwenye Hospitali za serikali baada ya muda wa kazi kuisha.

Waziri Ummy ametangaza uamuzi huo leo Mkoani Simiyu, wakati akizungumza na watumishi wa Hospitali ya rufaa ya Mkoa wa Simiyu katika ziara yake Mkoani humo.

Waziri Ummy amesema

"Tusiweke urasimu Daktari huyu baada ya saa kumi mruhusu afanye shughuli zake za Private hapa, atawaona mnakubaliana percentage, Ocean Road nilifanya hivyo. Turuhusu hapa ni kuweka utaratibu tu, kuna Mgonjwa anataka aje wakati hakuna fujo.

Hata mimi kuna watu hawapendi kwenda hospitali za Serikali, mchukulie kama RC yupo busy aanze kupanga mafoleni, anataka akienda sehemu nimekuta chumba maalumu kimetengwa, kina makochi, kuna maji, kuna chai, kuna kahawa, kuna soda.

Daktari atamuita Muuguzi, Daktari atanisikiliza, Muuguzi atanichukua sampuli zangu kama nimeondoka ni kufanyiwa radiology tu lakini vitu vingine nitafanyiwa hapohapo."

Wataalamu wa Afya waonywa kupunguza Semina

Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu Ummy Mwalimu amewataka Wataalamu wa Afya nchini kupunguza semina ili kuwa na muda zaidi wa kutoa huduma bora za matibabu kwa Wananchi.

Waziri Ummy ameyasema hayo leo Julai 10, 2023 katika ziara yake Mkoani Simiyu wakati akiogea na Viongozi wa Mkoa huo chini ya Mkuu wa Mkoa Dkt. Yahaya Nawanda.

“Wataalamu wa Afya punguzeni semina maana mmekuwa na semina nyingi hadi kupelekea Wagonjwa kukosa huduma kwa wakati na kumekuwa na msomgamano mkubwa katika vituo vya kutolea huduma za afya sababu ya semina”

Waziri Ummy pia amesema katika utolewaji wa huduma za afya nchini hakuna kilichosimama kwakuwa Serikali imejenga majengo ya Hospitali, imetoa dawa na vifaa tiba, hivyo ni jukumu la Wataalamu wa Afya ni kutoa huduma bora patika vituo hivyo.

“Tunamshukuru sana Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kutupatia kila kitu katika Sekta ya Afya ikiwemo majengo, vifaa tiba, kuajiri Wataalamu na sasa ni jukumu letu Wataalau kutoa huduma bora kwa Wananchi kwani ndio dhamira ya Serikali”
Sisi wananchi hapa ni Bingo Kabisa. Hongera sana Odo Ummy sisi watu wa huku chini hili limepita 100%
 
Kuikweli kqa uwekezaji mkubwa kwenye Miondombinu na Vifaa Tiba Mama Samia amefanya kwenye Sekta ya Afya alihitaji akili kubwa kam ya Ummy ili mambo kama haya yatokee. Piga mikataba madakatari wa Vijiwe tupate 50/50 kazi za nje ya muda ndani ya Hospitali
 
Ingekuwa kipindi cha mwendazake huyu angeliwa kichwa mapema mno, eti naye ni msomi kauli na uamuzi wa ovyo mno
 
Lengo la Mhe Ummy hapa ni kutekeleza adhma ya Serikali ya kuhakikisha wananchi wanapata huduma katika Hospitali zao na sio kuwapatia mlolongo wa vijiweni huko
 
Aliyeleta Mada ndio kaleta mvurugano.

Nilivyoelewa ni kwamba Madaktari wamepewa ruhusa kufanya Part time jobs ktk hospitali binafsi. Na sio kutumia hospital za umma kugeuza binafsi baada ya masaa ya kazi.
Mshaanza vya mmemnukuu vibayaa
 
Tanzania kwenye afya bado sana wanajenga mahospitali tu wataalamu na vifaa hakuna.Kuna vipimo vingine hadi sampuli zitumwe Nairobi au South Africa majibu baada ya wiki 2 au hata mwezi ndio mgonjwa aanzishiwe matibabu.Viongozi hawawazi kuwasogezea wananchi huduma kama hizo hapa nchini ni aibu mno
 
Ingekuwa kipindi cha mwendazake huyu angeliwa kichwa mapema mno, eti naye ni msomi kauli na uamuzi wa ovyo mno
🤣🤣🤣 acha swanga hizo za kidenzi Sioni cha ajabu hapa, madaktari huwa wanaingia mikataba na vijiwe huko na mara nyingi wanawachepusha wagonjwa kwenda huko kwenye vijiwe vyao, sasa hamuoni kuwa wakibaki Hospitalini watu watahudumiwa hapa hapa vizuri tuu kwa uhakika maana Serikali imeweka vifaa tiba vya uhakika, waweke utaratibu mzuri na usimamizi.Kila kitu kinawezekauna tukiamua tuu.

Tusipende kuona makosa tu, Hospitali zipo lakini wanakuja wanapima sampuli zao kutumia vifaa vya umma na hawalipii lakini wanachaji wananchi. Sasa wanapewa mikataba wawepo hospitali muda wa kazi ukiisha waendelee na huduma zao binafsi lakini inakua 59/50 na Hospitali husika.
 
Aliyeleta Mada ndio kaleta mvurugano.

Nilivyoelewa ni kwamba Madaktari wamepewa ruhusa kufanya Part time jobs ktk hospitali binafsi. Na sio kutumia hospital za umma kugeuza binafsi baada ya masaa ya kazi.
Kosa afanye bibi yako ummi lawama umpe mleta mada hivi umemsikia umi au unafikilia kwa kutumia makalio . Pumbavu nanusu muuza bandari wewe
Amesema kabisa mfanye biashara hapa! Mwehu wewe
 
Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu ametoa ruhusa rasmi kwa Madaktari nchini walioajiriwa na serikali kufanya kazi Binafsi kwenye Hospitali za serikali baada ya muda wa kazi kuisha.

Waziri Ummy ametangaza uamuzi huo leo Mkoani Simiyu, wakati akizungumza na watumishi wa Hospitali ya rufaa ya Mkoa wa Simiyu katika ziara yake Mkoani humo.

Waziri Ummy amesema

"Tusiweke urasimu Daktari huyu baada ya saa kumi mruhusu afanye shughuli zake za Private hapa, atawaona mnakubaliana percentage, Ocean Road nilifanya hivyo. Turuhusu hapa ni kuweka utaratibu tu, kuna Mgonjwa anataka aje wakati hakuna fujo.

Hata mimi kuna watu hawapendi kwenda hospitali za Serikali, mchukulie kama RC yupo busy aanze kupanga mafoleni, anataka akienda sehemu nimekuta chumba maalumu kimetengwa, kina makochi, kuna maji, kuna chai, kuna kahawa, kuna soda.

Daktari atamuita Muuguzi, Daktari atanisikiliza, Muuguzi atanichukua sampuli zangu kama nimeondoka ni kufanyiwa radiology tu lakini vitu vingine nitafanyiwa hapohapo."

Wataalamu wa Afya waonywa kupunguza Semina

Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu Ummy Mwalimu amewataka Wataalamu wa Afya nchini kupunguza semina ili kuwa na muda zaidi wa kutoa huduma bora za matibabu kwa Wananchi.

Waziri Ummy ameyasema hayo leo Julai 10, 2023 katika ziara yake Mkoani Simiyu wakati akiogea na Viongozi wa Mkoa huo chini ya Mkuu wa Mkoa Dkt. Yahaya Nawanda.

“Wataalamu wa Afya punguzeni semina maana mmekuwa na semina nyingi hadi kupelekea Wagonjwa kukosa huduma kwa wakati na kumekuwa na msomgamano mkubwa katika vituo vya kutolea huduma za afya sababu ya semina”

Waziri Ummy pia amesema katika utolewaji wa huduma za afya nchini hakuna kilichosimama kwakuwa Serikali imejenga majengo ya Hospitali, imetoa dawa na vifaa tiba, hivyo ni jukumu la Wataalamu wa Afya ni kutoa huduma bora patika vituo hivyo.

“Tunamshukuru sana Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kutupatia kila kitu katika Sekta ya Afya ikiwemo majengo, vifaa tiba, kuajiri Wataalamu na sasa ni jukumu letu Wataalau kutoa huduma bora kwa Wananchi kwani ndio dhamira ya Serikali”
Kwa upande wangu nakubaliana na wazo la odo Ummy la kuweka utaratibu huu wa madaktari kufanya shughuli zao binafsi katika vituo vyao vya Kazi baada ya saa za kazi za mwajiri. ukweli kwamba madaktari wengi wameingia mikataba na hospitali binafsi za mitaani ili kuongeza mapato yao na kukutana na wagonjwa huko vijiweni.

kwa kuwapa fursa hii madaktari na watumishi wa mambo ya Afya kufanya kazi zao baada ya saa za kazi za mwajiri patika vituo vyao vya kutolea huduma ni uamuzi mzuri. Hii inaweza kuongeza upatikanaji wa huduma za afya katika bora wa hali ya juu, kupunguza msongamano katika hospitali za serikali, na kuimarisha huduma kwa ujumla.

Ni matumaini yangu kuwa juhudi zilizopo za kuboresha huduma za afya nchini zitaendelea kuongezeka kwa utaratibu huo na kuwezesha upatikanaji wa huduma bora kwa kila mtu bila kujali kelele za wasioitakia mema Nchi, piga Kazi Mheshimiwa Waziri sisi Mwananchi tunaojitambua tupo nyuma yako wewe na mhe. Rais 💪🏾💪🏾💪🏾💪🏾.
 
Mlipenda zama za Kikwete,sasa zinalejea kwa kasi-ile nidhamu aliyokuwa ameanza kuijenga Magufuli katika utoaji wa huduma ya afya sasa inakwenda kutoweka
Nidhamu haitoweki bali ni uboreshaji wa huduma ,hapa ni kwamba watu watakuwa uhuru wa kupata huduma kwa muda wowote katika vituo vya umma zikiwemo huduma private ,hili ni jambo zuri na hospitali watapatana percentage
 
Majibu ya mkupuo kwa chawa wote wa Ummy mliotokea ghafla na madaktari msio na ethics.

Usimamizi wa afya sio swala la mtu kujiamulia tu especially asiekuwa na qualification ata za management ya sector tu let alone ata certificate ya kuhudumia wagonjwa. Ndio maana wote duniani wanatumia miongozo ya WHO.

Watoa huduma wa afya wana jukumu la kutoa hizo huduma ‘without the risk of harm’; ndio maana supervision kwenye afya hierarchical na hakuna ubunifu. Student utasimamiwa na qualified Dr, qualified Dr utasimamiwa na Hospitali na hospitali itasimamiwa na wizara.

Sasa Dr ambae anatoa huduma ‘after hours’ quality ya kazi zake inasimamiwa na nani? Who bears the legal responsibilities ya hizo huduma hospital au dokta mambo yakienda mrama.

On the operational wise of those services it is close to impossible bila ya huyo dr kutumia muda wa wataalamu wengine na huduma zingine za hospitali wakati wa mapumziko yake na kuongeza mzigo au depriving wateja wakawaida huduma ili yake yafanyike.

Mwisho uwezi kuchagua wagonjwa na wengine uwezi kujua risk zao haraka; mfano atakuja mtu kisukari kimepanda una mtibu vipi bila ya kutumia kitanda cha hospitali, nurse kuwa nae karibu anahitaji vipimo kadhaa among them vya damu kuondoa possibilities ya DKA kama ipo ujue hatua gani na kama sio DKA ujue hatua gani.

Kwa kifupi huyo mgonjwa mmoja tu ana mambo mengi ambayo mengine sijaweka wapo mtu mmoja awezi mtibu isipokuwa taasisi na medical history yake ni muhimu siku nyingine akirudi na si ajabu akaa hospitali siku mbili. Sasa inawezekana vipi asitumie muda wa serikali katika huduma zake.

Ethical wise, supervision wise and medical services operation wise it’s impossible hilo jambo aliwezekani; ni mtu mjinga tu anaweza ongea upuuzi kama huo. Hata ukimuuliza akutajie miongozo ya medical supervision iliyopo wizarani awezi kukutajia na kazungukwa na madokta na hizo policy zitakuwepo wizarani.

Ummy acha kun’gan’gania nafasi zilizo juu ya uwezo wako. Hatukatai kila mtu anakuja na bahati yake duniani kama ulipangiwa uwaziri iwe hivyo maandishi ya mungu ayafutwi. Ila acha kulazimisha nafasi zilizo juu ya uwezo wako afya ni technical sio sehemu ya kuropoka tu; mpeni huko ofisi ya raisi sijui wapi kwenye upuuzi sio kucheza na maisha ya watu.
 
Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu ametoa ruhusa rasmi kwa Madaktari nchini walioajiriwa na serikali kufanya kazi Binafsi kwenye Hospitali za serikali baada ya muda wa kazi kuisha.

Waziri Ummy ametangaza uamuzi huo leo Mkoani Simiyu, wakati akizungumza na watumishi wa Hospitali ya rufaa ya Mkoa wa Simiyu katika ziara yake Mkoani humo.

Waziri Ummy amesema

"Tusiweke urasimu Daktari huyu baada ya saa kumi mruhusu afanye shughuli zake za Private hapa, atawaona mnakubaliana percentage, Ocean Road nilifanya hivyo. Turuhusu hapa ni kuweka utaratibu tu, kuna Mgonjwa anataka aje wakati hakuna fujo.

Hata mimi kuna watu hawapendi kwenda hospitali za Serikali, mchukulie kama RC yupo busy aanze kupanga mafoleni, anataka akienda sehemu nimekuta chumba maalumu kimetengwa, kina makochi, kuna maji, kuna chai, kuna kahawa, kuna soda.

Daktari atamuita Muuguzi, Daktari atanisikiliza, Muuguzi atanichukua sampuli zangu kama nimeondoka ni kufanyiwa radiology tu lakini vitu vingine nitafanyiwa hapohapo."

Wataalamu wa Afya waonywa kupunguza Semina

Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu Ummy Mwalimu amewataka Wataalamu wa Afya nchini kupunguza semina ili kuwa na muda zaidi wa kutoa huduma bora za matibabu kwa Wananchi.

Waziri Ummy ameyasema hayo leo Julai 10, 2023 katika ziara yake Mkoani Simiyu wakati akiogea na Viongozi wa Mkoa huo chini ya Mkuu wa Mkoa Dkt. Yahaya Nawanda.

“Wataalamu wa Afya punguzeni semina maana mmekuwa na semina nyingi hadi kupelekea Wagonjwa kukosa huduma kwa wakati na kumekuwa na msomgamano mkubwa katika vituo vya kutolea huduma za afya sababu ya semina”

Waziri Ummy pia amesema katika utolewaji wa huduma za afya nchini hakuna kilichosimama kwakuwa Serikali imejenga majengo ya Hospitali, imetoa dawa na vifaa tiba, hivyo ni jukumu la Wataalamu wa Afya ni kutoa huduma bora patika vituo hivyo.

“Tunamshukuru sana Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kutupatia kila kitu katika Sekta ya Afya ikiwemo majengo, vifaa tiba, kuajiri Wataalamu na sasa ni jukumu letu Wataalau kutoa huduma bora kwa Wananchi kwani ndio dhamira ya Serikali”
Tuondoe mawazo mfu vichwani Mwetu, hapa Waziri Ummy kaupiga Mwingi Madaktari wenzangu nadhani mnanielewa.
Zile za Kuzurula mtaani imeisha sasa, Daktati anapata na Serikali inapata.
 
Nadhani ni hatua nzuri kuboresha huduma kwenye hospitali za umma ,kuliko daktari amalize muda na kwenda kwenye hospitali nyengine za private ni bora aruhusiwe kutoa huduma zake palepale huku hospitali ikinufaika pia lakini mteja kupata huduma kwa bei nafuu za hospitali za umma .

kwa gharama nafuu ya bei za hospitali za umma

Ni jambo zuri saana likiwekewa utaratibu huu watu watapata huduma bora na za kipekee kutokana na mahitaji yao .
 
Hongera Waziri Ummy! Hili suala likiwekewa utaratibu mzuri hakika litakua ni tamko lenye Tija sana katika Sekta ya Afya hasa katika Hospitali zetu hizi za Umma.
 
Tuondoe mawazo mfu vichwani Mwetu, hapa Waziri Ummy kaupiga Mwingi Madaktari wenzangu nadhani mnanielewa.
Zile za Kuzurula mtaani imeisha sasa, Daktati anapata na Serikali inapata.
Nimekupa scenario ya hyperglycaemia, ndio mnawapa wagonjwa wa visukari dawa na kuwarudisha nyumbani; wakifika huko asubuhi marehemu kwa sababu amfanyi kazi zenu kitaalamu na kulipua lipua tu.

Kifo cha Membe nchi zingine hospitali ina case ya medical negligence sasa hivi. Mtu anakuja anakwambia usiku alipata shida kupumua kwa masaa; badala ya kumuweka chini ya uangalizi una mrihusu kesho maiti.

Ni irresponsible move and impractical
 
Nadhani ni hatua nzuri kuboresha huduma kwenye hospitali za umma ,kuliko daktari amalize muda na kwenda kwenye hospitali nyengine za private ni bora aruhusiwe kutoa huduma zake palepale huku hospitali ikinufaika pia lakini mteja kupata huduma kwa bei nafuu za hospitali za umma .

kwa gharama nafuu ya bei za hospitali za umma

Nadhani ni hatua nzuri kuboresha huduma kwenye hospitali za umma ,kuliko daktari amalize muda na kwenda kwenye hospitali nyengine za private ni bora aruhusiwe kutoa huduma zake palepale huku hospitali ikinufaika pia lakini mteja kupata huduma kwa bei nafuu za hospitali za umma .
Ni jambo zuri saana likiwekewa utaratibu huu watu watapata huduma bora na za kipekee kutokana na mahitaji yao .
Huduma za afya zinaboreshwa kwa mifumo ya usimamizi inayotolewa na WHO, kuwa implemented kama policies za utendaji na kusimamiwa na vituo vya afya; kwa lengo la kuwa na standardisation.

Sio poyoyo mmoja anaeropoka ujinga bila kujua madhara yake; mwanamke fala kweli.
 
Kuikweli kqa uwekezaji mkubwa kwenye Miondombinu na Vifaa Tiba Mama Samia amefanya kwenye Sekta ya Afya alihitaji akili kubwa kam ya Ummy ili mambo kama haya yatokee. Piga mikataba madakatari wa Vijiwe tupate 50/50 kazi za nje ya muda ndani ya Hospitali
Hii ni nzuri kuliko daktari aite mgongwa kwenye kijiwe ni bora wachapwe mikataba ya ziada kutoa huduma hizo humohumo hospitali ,ni mtu na chaguo lake tu kuamua anataka huduma gani na kwa wakati gani na kutoka kwa daktari gani
 
Yaani watumie rasilimali za umma kwa matumizi yao binafsi duh
Jambo hiki lina manufaa zaidi kuliko hizi hoja ,lengo kubwa la hospitali ni kutoa huduma kwa wananchi ,hili linakwenda kuongeza wigo wa huduma kwa wananchi na motisha kwa madaktari na kwa wakati huohuo na hospitali zenyewe zitanufaika hapa ,jambo hili lina win to win situation ,Hapa UMMY amewaza mbali saana ,tuondoe urasimu tuboreshe huduma
 
Oya hivi, Watu wanawazaje? Hivi kafikiria mara mbili kweli? Hamna washauri?

Subiri uone wagonjwa wakicheleweshwa ili ufike muda wa pesa.
Hakuna muda wa freee wala wa hela ,hospitali zinatoa huduma usiku na mchana ,huduma za private zitatolewa na daktari aliyemaliza zamu yake kwa siku hiyo ,kama aliingia shift ya usiku basi atafanya muda ambao atakuwa hana zamu ,hiii inatoa fursa kwa madaktari na wagonjwa ambao watahitaji huduma private kupata huduma hiyo ,na huku hospitali itanufaika pia ,Huu ndio uboreshaji wa huduma za afya kwa vitendo
 
Back
Top Bottom