Ummy Mwalimu: Tozo ya uzalendo ni ubunifu, tunajenga barabara vijijini

Ati ubunifu 😉😀😀😷😷
Hata anayebuni baskeli ya mbao katikati ya wanaobuni rocket za kwenda sayari ya Mars ni mbunifu pia, hongereni sana
 
Kmmmmmmmmmmk@@@@
 
CCM mnawaumiza wananchi bila sababu yoyote. Acheni kuleta tozo katili kwa wananchi
 
Kama ni ya uzalendo mshahara wake ukatwe kodi Ili twende sambamba.
 
Haka kamama ni kashamba sana, ndio maana kanafanana na Ringo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…