Wote tunajua nguvu aliyonayo huyu jamaa wa Tanga former DGIS katika uongozi wa Nchi kwa sasa. Hata huyu bwana aliyewekwa toka Kigoma kawekwa na hao hao wenye nguvu. Ummy Mwalimu anatumia sana uwezo wa kumfikia mwenye Mamlaka kuwaharibia wenzake anaofanya nao kazi. Alianza kwa Major General aliyekuwa MSD, Mamlaka ikatangaza kumuondoa kwa aibu Jenerali wa Jeshi.
Kama haitoshi, kwa kutumia mbinu hiyo hiyo ya ovyo na mafungamano yao ya kikanda amemuondoa Profesa Makubi ameletewa Mtu wa kwao waongoze Wizara ya Afya kama shamba la Bibi. Huu uhuni una mwisho wake na sio mwisho mzuri. Huyu Ummy nahisi anatumia miti shamba kwa sababu hata marehemu JPM alijikuta anampenda tu na kumuacha wizarani mara kadhaa wakati ni miongoni mwa waziri wenye ufanisi mdogo.
Mfano kwa kukwama muswada wa bima ya afya kwa wote kuingia Bungeni mara mbili huyu alitakiwa ajiuzulu kwa kumshauri vibaya mwenye mamlaka. Anyway endeleeni kujazana kwa ukanda wenu huo kwenye kila sekta muhimu.