Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Mikoa mingine hawastahili? Makamba umeme kila siku unakatwa ndiyo kustahili?Ishu ni hii:wanastahili au hawastahili?Acheni majungu nchi isonge
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mikoa mingine hawastahili? Makamba umeme kila siku unakatwa ndiyo kustahili?Ishu ni hii:wanastahili au hawastahili?Acheni majungu nchi isonge
Hao hata kuwatumbua mwenye mamlaka lazima aombe kibali [emoji1787]Sema Jenister Mhagama na Capatain George Mkuchika ni Kama Wana KIZIZI.
Hata aje Rais gani, wao wapo tu mpaka WAFIE Madarakani.
Umeongea Kwa uchungu, pole sana.Wote tunajua nguvu aliyonayo huyu jamaa wa Tanga former DGIS katika uongozi wa Nchi kwa sasa. Hata huyu bwana aliyewekwa toka Kigoma kawekwa na hao hao wenye nguvu. Ummy Mwalimu anatumia sana uwezo wa kumfikia mwenye Mamlaka kuwaharibia wenzake anaofanya nao kazi. Alianza kwa Major General aliyekuwa MSD, Mamlaka ikatangaza kumuondoa kwa aibu Jenerali wa Jeshi.
Kama haitoshi, kwa kutumia mbinu hiyo hiyo ya ovyo na mafungamano yao ya kikanda amemuondoa Profesa Makubi ameletewa Mtu wa kwao waongoze Wizara ya Afya kama shamba la Bibi. Huu uhuni una mwisho wake na sio mwisho mzuri. Huyu Ummy nahisi anatumia miti shamba kwa sababu hata marehemu JPM alijikuta anampenda tu na kumuacha wizarani mara kadhaa wakati ni miongoni mwa waziri wenye ufanisi mdogo.
Mfano kwa kukwama muswada wa bima ya afya kwa wote kuingia Bungeni mara mbili huyu alitakiwa ajiuzulu kwa kumshauri vibaya mwenye mamlaka. Anyway endeleeni kujazana kwa ukanda wenu huo kwenye kila sekta muhimu.
Naunga mkono hoja,hata kule Tamisemi alikokuwa awali Kuna Tukio lilitokea taasisi Fulani ya Tamisemi na hivyo kupelekea Mchengerwa Kuondolewa Utumishi..Wote tunajua nguvu aliyonayo huyu jamaa wa Tanga former DGIS katika uongozi wa Nchi kwa sasa. Hata huyu bwana aliyewekwa toka Kigoma kawekwa na hao hao wenye nguvu. Ummy Mwalimu anatumia sana uwezo wa kumfikia mwenye Mamlaka kuwaharibia wenzake anaofanya nao kazi. Alianza kwa Major General aliyekuwa MSD, Mamlaka ikatangaza kumuondoa kwa aibu Jenerali wa Jeshi.
Kama haitoshi, kwa kutumia mbinu hiyo hiyo ya ovyo na mafungamano yao ya kikanda amemuondoa Profesa Makubi ameletewa Mtu wa kwao waongoze Wizara ya Afya kama shamba la Bibi. Huu uhuni una mwisho wake na sio mwisho mzuri. Huyu Ummy nahisi anatumia miti shamba kwa sababu hata marehemu JPM alijikuta anampenda tu na kumuacha wizarani mara kadhaa wakati ni miongoni mwa waziri wenye ufanisi mdogo.
Mfano kwa kukwama muswada wa bima ya afya kwa wote kuingia Bungeni mara mbili huyu alitakiwa ajiuzulu kwa kumshauri vibaya mwenye mamlaka. Anyway endeleeni kujazana kwa ukanda wenu huo kwenye kila sekta muhimu.
Nani ambae Huwa haweki watu wa kwao?Profesa Makubi ni mzuri shida amliwaweka Wasukuma kwenye Idara Wizarani.Wakaota pembe nakuanza kunyanyasa Watumishi wa Afya nchi mzima.Hasa kutumia waraka alio utoa kaimu karibu Mkuu Dr.Ahmad Makuwani kuvamia taasisi na kunyanyasa Watumishi nchi nzima.
Wewe jamaa ulizoweya utawala wa ukabila wa magufuli sasa kila ukiona jina la mtu la Kiswahili unahisi hivyoWote tunajua nguvu aliyonayo huyu jamaa wa Tanga former DGIS katika uongozi wa Nchi kwa sasa. Hata huyu bwana aliyewekwa toka Kigoma kawekwa na hao hao wenye nguvu. Ummy Mwalimu anatumia sana uwezo wa kumfikia mwenye Mamlaka kuwaharibia wenzake anaofanya nao kazi. Alianza kwa Major General aliyekuwa MSD, Mamlaka ikatangaza kumuondoa kwa aibu Jenerali wa Jeshi.
Kama haitoshi, kwa kutumia mbinu hiyo hiyo ya ovyo na mafungamano yao ya kikanda amemuondoa Profesa Makubi ameletewa Mtu wa kwao waongoze Wizara ya Afya kama shamba la Bibi. Huu uhuni una mwisho wake na sio mwisho mzuri. Huyu Ummy nahisi anatumia miti shamba kwa sababu hata marehemu JPM alijikuta anampenda tu na kumuacha wizarani mara kadhaa wakati ni miongoni mwa waziri wenye ufanisi mdogo.
Mfano kwa kukwama muswada wa bima ya afya kwa wote kuingia Bungeni mara mbili huyu alitakiwa ajiuzulu kwa kumshauri vibaya mwenye mamlaka. Anyway endeleeni kujazana kwa ukanda wenu huo kwenye kila sekta muhimu.
Kuna mstari mwembamba sana kati ya Udini na Ukabila.Tunapomsema Rais tunataka asirudie tabia ya Ukanda na Ukabila ya Magufuli!Wewe jamaa ulizoweya utawala wa ukabila wa magufuli sasa kila ukiona jina la mtu la Kiswahili unahisi hivyo
Ndugu yangu, naona unamtetea Makubi. Hili halikubaliki kamwe. Kama kitu huelewi uliza. Uteuzi huu ulichelewa sanaWote tunajua nguvu aliyonayo huyu jamaa wa Tanga former DGIS katika uongozi wa Nchi kwa sasa. Hata huyu bwana aliyewekwa toka Kigoma kawekwa na hao hao wenye nguvu. Ummy Mwalimu anatumia sana uwezo wa kumfikia mwenye Mamlaka kuwaharibia wenzake anaofanya nao kazi. Alianza kwa Major General aliyekuwa MSD, Mamlaka ikatangaza kumuondoa kwa aibu Jenerali wa Jeshi.
Kama haitoshi, kwa kutumia mbinu hiyo hiyo ya ovyo na mafungamano yao ya kikanda amemuondoa Profesa Makubi ameletewa Mtu wa kwao waongoze Wizara ya Afya kama shamba la Bibi. Huu uhuni una mwisho wake na sio mwisho mzuri. Huyu Ummy nahisi anatumia miti shamba kwa sababu hata marehemu JPM alijikuta anampenda tu na kumuacha wizarani mara kadhaa wakati ni miongoni mwa waziri wenye ufanisi mdogo.
Mfano kwa kukwama muswada wa bima ya afya kwa wote kuingia Bungeni mara mbili huyu alitakiwa ajiuzulu kwa kumshauri vibaya mwenye mamlaka. Anyway endeleeni kujazana kwa ukanda wenu huo kwenye kila sekta muhimu.
Unataka uwepo wewe?Sema Jenister Mhagama na Capatain George Mkuchika ni Kama Wana KIZIZI.
Hata aje Rais gani, wao wapo tu mpaka WAFIE Madarakani.
Hilo ni kosa la jenister? Hayo ni maamuzi ya serikali.Namchukia Jenista sijui kwasababu gani? mama katesa Sana wastaafu kwa mipango yake ya hovyo kabisa, hajali wastaafu! Mstaafu alikuwa mtumishi wa umma ametumikia nchi miaka mingi amewekeza pesa zake kwa LAZIMA huko serikalini, Leo anapewa kwa mafungu yasiyo ya tija! not fair
Wewe, tangu lini MSD inaongozwa na Major General? MSD inapaswa kuongozwa na mwenye fani inayohusu dawa, hifadhi na usambazaji siyo vita. Katibu wa Wizara anateuliwa na Rais, siyo Waziri.Wote tunajua nguvu aliyonayo huyu jamaa wa Tanga former DGIS katika uongozi wa Nchi kwa sasa. Hata huyu bwana aliyewekwa toka Kigoma kawekwa na hao hao wenye nguvu. Ummy Mwalimu anatumia sana uwezo wa kumfikia mwenye Mamlaka kuwaharibia wenzake anaofanya nao kazi. Alianza kwa Major General aliyekuwa MSD, Mamlaka ikatangaza kumuondoa kwa aibu Jenerali wa Jeshi.
Kama haitoshi, kwa kutumia mbinu hiyo hiyo ya ovyo na mafungamano yao ya kikanda amemuondoa Profesa Makubi ameletewa Mtu wa kwao waongoze Wizara ya Afya kama shamba la Bibi. Huu uhuni una mwisho wake na sio mwisho mzuri. Huyu Ummy nahisi anatumia miti shamba kwa sababu hata marehemu JPM alijikuta anampenda tu na kumuacha wizarani mara kadhaa wakati ni miongoni mwa waziri wenye ufanisi mdogo.
Mfano kwa kukwama muswada wa bima ya afya kwa wote kuingia Bungeni mara mbili huyu alitakiwa ajiuzulu kwa kumshauri vibaya mwenye mamlaka. Anyway endeleeni kujazana kwa ukanda wenu huo kwenye kila sekta muhimu.
hii ni dhahiri kabisa.....Character assassination hii....acha majungu na fitina kwa Mh. Waziri.