Ulimchagua unaemlalamikia Kwa uchaguzi upi?Teuzi lazima zibalance, huwezi kuteua mikoa 2 mawaziri 9
Turudi kwenye kuandika KATIBA mpya, tuhakikishe tumebadili vifungu vinavyosema akifariki Rais, Makamo anashika nafasi,
Ikitokea Rais kafariki,turudi Kwa uchaguzi, haya mambo kuweka vifungu Kwa kuogopa gharama za uchaguzi ndo yametufikisha hapa.