Ummy Mwalimu unatumia ukaribu wako na Othman kuwaangamiza wenzako

Criticism wizara ya afya, nishati, kilimo, habari na sasa hivi maliasili ni sawa na kutwanga maji kwenye kinu.

Ummy Mwalimu hiyo wizara sio size yake kabisa; ata management ya hospitali ya wilaya aimudu seuse wizara.

Kila mtu atamuona mchawi tu huko wizarani anaemuharibia kazi ilhali yeye mwenyewe ni clueless kwenye maswala ya health management.

Ata wakati wa Magufuli, Ummy alikuwa awaelewani na katibu mkuu wa wizara kipindi yupo afya mpaka kuna siku Magu akawakosoa hadharani wawe kwenye same page katika maamuzi yao sio kurushiana vijembe Whatsaap.

Ni aibu namna hii serikali inavyoendeshwa na inataka moyo kweli kusifia heck, teuzi za week hii zimewapa watu wa hovyo hovyo kweli nafasi. Inafikia hatua ata kumkosoa kiongozi mmoja unaona kama unamuonea kwa sababu kama vilaza wapo wengi au wenye makando yao wapo kila sehemu kwanini uchague kumnanga fulani tu.

Solution ni kumtoa huyo mama 2025 kumuongezea muda ni kwenda kuiharibu hii nchi zaidi na zaidi.
 
LAWAMA hazitokusaidia chochote walaumu mababu zako walikataa kusoma leo hii una kazi ya kulaumu watu ambao babu walisoma wakawasomesha ili wakukomeshe. Aise jikite kwenye kutafuta pesa ukiona nchi aikutendei haki HAMA
 
Umeongea Kwa uchungu, pole sana.
 
Naunga mkono hoja,hata kule Tamisemi alikokuwa awali Kuna Tukio lilitokea taasisi Fulani ya Tamisemi na hivyo kupelekea Mchengerwa Kuondolewa Utumishi..

Sijui kama ni kupendwa au laa ila mara kadhaa nimemsikia mh.Rais akimuita Oddo Ummy so wanashibana kiaina..

Kwa Sasa boss wako akiwa mwana mama aisee mkazinguana kidogo tuu ujue unaondoka.
 
Nani ambae Huwa haweki watu wa kwao?
 
Yaani turudi siasa za ukanda, udini na ukabila?

Hii Si Nchi aliyoiacha Nyerere.
 
Acha majungu. Waziri Ummy ni mzuri kuanzia sura hadi utendaji wake wa kazi.
 
Wewe jamaa ulizoweya utawala wa ukabila wa magufuli sasa kila ukiona jina la mtu la Kiswahili unahisi hivyo
 
Ndugu yangu, naona unamtetea Makubi. Hili halikubaliki kamwe. Kama kitu huelewi uliza. Uteuzi huu ulichelewa sana
 
Hilo ni kosa la jenister? Hayo ni maamuzi ya serikali.
 
Wewe sema unachojua, sasa kusema majungu ndo nini? Ni rahisi kukenua meno ukipendwa, next morning ukiumizwa ndo utaelewa thamani ya meno yako.
 
Wewe, tangu lini MSD inaongozwa na Major General? MSD inapaswa kuongozwa na mwenye fani inayohusu dawa, hifadhi na usambazaji siyo vita. Katibu wa Wizara anateuliwa na Rais, siyo Waziri.
 
Namfahan Prof Makubi ni mchapakazi hasa. ni mfutiliaji wa mambo, ni msikivu kwlei kweli. lakini sijui kimetokea mpaka akaondolewa wizara ya Afya.
 
Mama Samia awezi kumpiga chini Ummy ilo sahau.
nasoma comment za malalamiko kuhusu teuzi mama anateuwa wa Pwani,Rais katueuwa watu kutoka kanda zote ila amuwezi kuliona hilo kwasababu ni kuna team malalamiko huwa ipo tu hata Rais awe Malaika bado team malalamiko italalama.
 
Jibu ni KATIBA mpya, Si kushabikia siasa za ukanda,

Tofauti Yako na waliopo unaowatuhumu kuchaguana Kwa udini ni ipi sasa😳😳
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…