Ulimchagua unaemlalamikia Kwa uchaguzi upi?Teuzi lazima zibalance, huwezi kuteua mikoa 2 mawaziri 9
Naunga mkono hoja, huwezi kuwa na kiongozi wa namna hiiUlimchagua unaemlalamikia Kwa uchaguzi upi?
Turudi kwenye kuandika KATIBA mpya, tuhakikishe tumebadili vifungu vinavyosema akifariki Rais, Makamo anashika nafasi,
Ikitokea Rais kafariki,turudi Kwa uchaguzi, haya mambo kuweka vifungu Kwa kuogopa gharama za uchaguzi ndo yametufikisha hapa.
Huu ni ujingaJenista hawezi kufanya chochote bila baraka za mteuzi wake na baraza la Mawaziri, tuna mifumo ya hovyo sn ya kutegemea mawazo ya mtu mmoja
SureHuu ni ujinga
Tusipo dai katiba mpya kuna kichaa mwingne atakuja kuwaambia mlale saa sita mchana kazi mfanye usiku
Mfugale kafia ofisini akiwa amepitisha miaka Saba ya kustaafu.Sema Jenister Mhagama na Capatain George Mkuchika ni Kama Wana KIZIZI.
Hata aje Rais gani, wao wapo tu mpaka WAFIE Madarakani.
Mbinu mbadala muhim sana.Huyu Ummy nahisi anatumia miti shamba kwa sababu hata marehemu JPM alijikuta anampenda tu na kumuacha wizarani mara kadhaa wakati ni miongoni mwa waziri wenye ufanisi mdogo.
Ila Jenister anazidi tu kunawiri na uso unazidi tu kuwa wa Baby Face. Wakinamama wakikamata hela ni hatari sanaSema Jenister Mhagama na Capatain George Mkuchika ni Kama Wana KIZIZI.
Hata aje Rais gani, wao wapo tu mpaka WAFIE Madarakani.