Ummy Mwalimu: Wachangiaji damu, kupewa kipaumbele wanapohitaji damu hospitalini. Watapewa kadi Maalum

Hadi alipoishia hakuna mahali AMEKOSEA. kupewa kipaumbele si tu upendeleo ni uhamasishaji pia. Kama hatujui hata VIP wodi zina treatment tofauti. Sio hivyo tu bima nazo zina coverage tofauti.
Hongera mtani, mwenye shingo ya upanga [emoji16][emoji16][emoji16]

Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
 
Tatizo unachanganya vitu. Waziri ni mwanasiasa na hapa anahamashisha uchangiaji wa Damu period. Mtaalam katika wizara ni Mganga Mkuu na kidogo Katibu Mkuu ingawa nayo ni managerial post (ambapo si lazima awe Mtaalam). Waziri yupo sahihi na hajapanga damu itatumikaje huko kwenye field. Medical ethics ni somo ujue!

Kama hujaelewa nieleze nikuelewishe zaidi ili uone Waziri yupo sahihi kwa nafasi yake kama mhamasishaji.
Naomba somo lako kama nimekosea, and I always have a room for learning.

But a also kindly accept my lesson.

Afya ni technical sio siasa, na ina frameworks zake za kimataifa zinazofuatwa kwenye operational approach.

Having said that asilimia kubwa ya policies za afya duniani ni WHO directives ata wale wanaobadilisha ni kwenye kuona effectiveness of operation to how it suits them best in health delivery.

Na sera nyingine ni uwezo wa nchi husika kwenye budget zao za afya based on WHO’s definition on what is health.

So kuna vitu kwenye hizo directives za WHO ni kama canon law; amongst them ni medical ethics ambazo every health services should adapt as proposed.

Uwezi kuwa na sera inayotoa favouritism in public health services.
 
Waziri wa afya jifunze ‘medical ethics’ under the concept of ‘non malificence’ you can’t do harm to a patience.

Hakuna priority kwenye afya who deserve the resources than another. It’s either first come first served or who needs it the most based on their poor medical condition.

Lakini hakuna sera ya kuchangia, upendelewe. Ni jukumu la wizara ya afya kukusanya damu na watu wana mbinu za kufanya hiyo shughuli.

Wanakupenda huko kwa sababu siyo mtaalamu unaeongea ujinga mtupu na aliekupa hayo mapendekezo ni mjinga vile vile.

Hii statement ya "nimemtska Katibu Mkuu..." "nimemuagiza KM..." whuwa haina afya kiutendaji,
 
Hadi alipoishia hakuna mahali AMEKOSEA. kupewa kipaumbele si tu upendeleo ni uhamasishaji pia. Kama hatujui hata VIP wodi zina treatment tofauti. Sio hivyo tu bima nazo zina coverage tofauti.
Hongera mtani, mwenye shingo ya upanga [emoji16][emoji16][emoji16]

Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
Uhamasishaji ni jukumu la wizara ya afya kila siku.

Ukiona hadi hospitali zinakaribiwa kuishiwa damu jua kuna uzembe kwenye inventory control na kuna watu wanatakiwa kutimuliwa kazini.
 
Huyu mama ashavimba kichwa , kipindi cha jiwe alienda Kwa nidhamu na uwoga thus why tulimuona kichwa , sa hv kichwa kimejaa na ndo tatizo wa wanawake akiwa top anakuwa na kiburi na kuongea tu hovyo hovyo
 
Hii statement ya "nimemtska Katibu Mkuu..." "nimemuagiza KM..." whuwa haina afya kiutendaji,
Ni sahihi kwa sababu hao ndio wahusika wenyewe kwa mtu anaejua mambo juu juu. Hao ndio watu wakuwaelekeza.

Lakini mtaalamu anaweza waponda watu hao hao steps wanazokosea kwa sababu inventory ya damu ni mandotory popote damu na wanatakiwa wajue when to start campaign kabla hali aijawa mbaya.

But with her they can toy na bila yeye kujua upuuzi upo wapi.
 
Huyu mama ashavimba kichwa , kipindi cha jiwe alienda Kwa nidhamu na uwoga thus why tulimuona kichwa , sa hv kichwa kimejaa na ndo tatizo wa wanawake akiwa top anakuwa na kiburi na kuongea tu hovyo hovyo
Hiyo ni serious issue na yuko sahihi ku intervene. But is the method of intervention appropriate.

Yeye anaongea kutokana na uwezo wake wa uelewa tu on how best to deal with the situation.

Lakini mtaalamu angeruka na uzembe uliofikisha hapo.
 
Hii dunia ni ya ajabu sana

Watu wanakutana na changamoto mpaka wanasema kikwao sasa ' you are not needed to be a machenical engineer to drive a car'

Ukiona hivyo ujue waziri yupo sawa kama mamlaka yake ya teuzi ilivyo sawa kumteua
 
Naomba somo lako kama nimekosea, and I always have a room for learning.

But a also kindly accept my lesson.

Afya ni technical sio siasa, na ina frameworks zake za kimataifa zinazofuatwa kwenye operational approach.

Having said that asilimia kubwa ya policies za afya duniani ni WHO directives ata wale wanaobadilisha ni kwenye kuona effectiveness of operation to how it suits them best in health delivery.

Na sera nyingine ni uwezo wa nchi husika kwenye budget zao za afya based on WHO’s definition on what is health.

So kuna vitu kwenye hizo directives za WHO ni kama canon law; amongst them ni medical ethics ambazo every health services should adapt as proposed.

Uwezi kuwa na sera inayotoa favouritism in public health services.
Unachokisema ni sawa, huo ni utendaji. Kitu hujui tamko lake si Sheria, Daktari wakati akimhudumia Mgonjwa anafuata medical ethics na wala si agizo la Rais au Waziri. Hizo kadi ni njia ya kuhamashisha watu wachangie damu.

Nitatoa mfano. Ukisikia Rais amemfukuza mtu kazi, si kwamba anaondoka Ofisini na mshahara unakoma siku hiyo (kama si mteule wake). Nazungumzia mtu kama Daktari asiye na Madaraka yoyote. Kazi ya mwajiri wake ni kutafuta sababu ili mchakato wa kumfukuza kazi uanze ambao ni mrefu japo Rais atakuwa ametamka kuwa leo nimekufukuza kazi. Itatafutwa sababu mfano hujasaini katika kitabu cha mahudhurio siku 5 mfululizo. Utaletewa barua kuwa ujieleze kwa nini isifukuzwe kazi kwa kutofika kazini siku 5 kinyume na kanuni blabla hadi mwisho wa siku unafukuzwa kama lilivyokuwa takwa la Kiongozi.

Hii ni sawa na agizo la Ummy, si kuwa madaktari watafuata agizo lake, la hasha watafuata medical ethics. Huwezi kushitakiwa ukadai ni agizo la Waziri. Agizo lazima litafasiriwe bwashee
 
Waziri wa afya jifunze ‘medical ethics’ under the concept of ‘non malificence’ you can’t do harm to a patience.

Hakuna priority kwenye afya who deserve the resources than another. It’s either first come first served or who needs it the most based on their poor medical condition.

Lakini hakuna sera ya kuchangia, upendelewe. Ni jukumu la wizara ya afya kukusanya damu na watu wana mbinu za kufanya hiyo shughuli.

Wanakupenda huko kwa sababu siyo mtaalamu unaeongea ujinga mtupu na aliekupa hayo mapendekezo ni mjinga vile vile.

Asante kwa kuleta mada. Bahati mbaya "msomi" wetu hata hayo maneno umeshindwa kuyaandika sawasawa. Jitathmini wewe mwenyewe kwanza kabla ya kukosoa wengine. Hivi wewe ukienda hospitali kutoa damu kwa ajili ya mgonjwa wako halafu kwa kutumia "medical ethics" apewe mgonjwa mwingine utaona ni sawa?
 
Mkuu Kilatha, kiukweli mimi sio tuu namkubali sana huyu bidada, bali... kwa wale ambao hawajawahi kufika Tanga, au kupita Tanga, nawaomba Tanga muendelee kuisikia hivi hivi tuu!...sii mchezo !.
P
Kaka yangu ana mke wake huku kijijini kwetu alipeleka biashara akaacha mtaji wote huko huko Tanga.

Kasheshe sasa ikawa watu wakimuuliza biashara vipi anakuwa mkali kweli baada ya wenyeji kubeba mtaji na dada aliemvuruga hadi kuacha mtaji.

Majibu yake sasa akiulizwa biashara Tanga vipi ‘sitaki kabisa kabisa kusikia mambo ya Tanga nina mke wangu’, sasa mjomba nani kakuulizia mke wako watu wanataka kujua biashara inaendeleaje.
 
It’s not about freedom of expression it’s about medical ethics under ‘non malifence’ you can’t have such a policy.

Unafahamu medical ethics, zingine zinasemaje?
Non malifence = Nonmaleficence
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Hii dunia ni ya ajabu sana

Watu wanakutana na changamoto mpaka wanasema kikwao sasa ' you are not needed to be a machenical engineer to drive a car'

Ukiona hivyo ujue waziri yupo sawa kama mamlaka yake ya teuzi ilivyo sawa kumteua
Mamlaka ya uteuzi imempeleka baada ya kuvurunda TAMISEMI subiri repoty ya CAG ya serikali za mitaa upate picha kamili.
 
Ndio waziri wenu wa afya huyo; ata policies anazozinadi hadharani aelewi aziendani na kanuni za afya.

Sasa tatizo siyo yeye ni washauri vilaza kwanza na waziri asiejua lolote kama hiyo sera inakidhi matakwa ya medical ethics.
Una chuki binafsi wewe.
 
Like I said mtu aliesomea management ya afya he would know about inventory control ya damu na resources zingine so as not to run out.

Pili hoja ya waziri inaenda kinyume na medical ethics (non malificence) uwezi kutoa priority ya access to medical resources based on favouritism criteria including uchanguaji.
Mbna umekamia hivyo kisa kaongea ummy,.,? Hio ndo sera yenu toka zaman watu wa Damu wakifka shulen au sehm zingne wanasema ukitoa Damu siku ukipata tatizo au ndugu yko mtapewa vipaumbele so haijaanza Leo.. jikosoen huko ndan? Lkn Pia ndo njia ya kuwashawish watu Pia. Tena wanapewa Kadi maalumu... Wachangiaj wote.
 
Una chuki binafsi wewe.
Inategemea unakerwa vipi kuona watu wanapoteza maisha kizembe due to poor health supervision.

Mimi sishangai kabisa kusikia aliekuwa speaker Job Ndugai kama yupo India.

Ashukuru ana bahati ni kigogo, vinginevyo kisukari ukiwa na stress mwili unaachia Cortisol hormones kama kinga yake ya kwanza na yenyewe inataka mwili upate nguvu na mwili kupata nguvu unaachia sukari, wakati wewe mgonjwa wa kisukari. Hiyo issue mshike mshike kweli kweli mawili relax haraka sana au DKA hiyo; na kama DKA siku chache unazikwa kwa response ya bongo; speaker anakula pipa India wana mmudu.

DKA sio swala la kufa provided medics understand how to intervene.

Swali kwako would you rather have a minister who can eliminate this nonsense, au ushabiki tu wa mtu ambae unataka awe hapo kwa siasa kijinga.

Wizara ya afya ni ovyo mno kuna vifo vingi vinaepukika kwa kwa usimamizi imara tu na kuboresha huduma. Na kwa sasa hiyo wizara inahitaji mtaalamu sio mwanasiasa.

Huduma za afya Tanzania ni mbovu mmo, kuna watu wazembe mno ambao awataki kubadilika; ndio wanaomtaka mtu kama Ummy Mwalimu.
 
Unachokisema ni sawa, huo ni utendaji. Kitu hujui tamko lake si Sheria, Daktari wakati akimhudumia Mgonjwa anafuata medical ethics na wala si agizo la Rais au Waziri. Hizo kadi ni njia ya kuhamashisha watu wachangie damu.

Nitatoa mfano. Ukisikia Rais amemfukuza mtu kazi, si kwamba anaondoka Ofisini na mshahara unakoma siku hiyo (kama si mteule wake). Nazungumzia mtu kama Daktari asiye na Madaraka yoyote. Kazi ya mwajiri wake ni kutafuta sababu ili mchakato wa kumfukuza kazi uanze ambao ni mrefu japo Rais atakuwa ametamka kuwa leo nimekufukuza kazi. Itatafutwa sababu mfano hujasaini katika kitabu cha mahudhurio siku 5 mfululizo. Utaletewa barua kuwa ujieleze kwa nini isifukuzwe kazi kwa kutofika kazini siku 5 kinyume na kanuni blabla hadi mwisho wa siku unafukuzwa kama lilivyokuwa takwa la Kiongozi.

Hii ni sawa na agizo la Ummy, si kuwa madaktari watafuata agizo lake, la hasha watafuata medical ethics. Huwezi kushitakiwa ukadai ni agizo la Waziri. Agizo lazima litafasiriwe bwashee
Medical ethics sio swala la individual choice kufuata it’s a policy ambazo kila mtu anatakiwa aelewe.

Waziri na policy aiwezi kusema umpendelee mwenye kadi ya uchangiaji halafu we ufanye vingine; hiyo dhana pekee ni tofauti na medical ethics it shouldn’t be there in the first place.
 
Mbna umekamia hivyo kisa kaongea ummy,.,? Hio ndo sera yenu toka zaman watu wa Damu wakifka shulen au sehm zingne wanasema ukitoa Damu siku ukipata tatizo au ndugu yko mtapewa vipaumbele so haijaanza Leo.. jikosoen huko ndan? Lkn Pia ndo njia ya kuwashawish watu Pia. Tena wanapewa Kadi maalumu... Wachangiaj wote.
Nope kuna njia sahihi za public health policies za kukusanya damu, zaidi ya kutishia watu kutopewa kipaumbele.?
 
Non malifence = Nonmaleficence
Ulijua ata hizo medical ethics kabla sijaandika.

Asubuhi njema forum

Thanks to all the contributors of this posts.

Kwetu kumekucha

🙏🙏🙏
 
Medical ethics sio swala la individual choice kufuata it’s a policy ambazo kila mtu anatakiwa aelewe.

Waziri na policy aiwezi kusema umpendelee mwenye kadi ya uchangiaji halafu we ufanye vingine; hiyo dhana pekee ni tofauti na medical ethics it shouldn’t be there in the first place.
Nina wasiwasi na uelewa wako, kumbe ndo maana h inakushinda
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Back
Top Bottom