Ummy: Wanafunzi wote waende likizo mwezi Desemba, masoma ya ziada no

||Sitaki kutia neno, Msikilize hadi mwisho Waziri wa TAMISEMI Mhe Ummy Mwalimu,

Hii inaonyesha kuna uwezekano wa mabadiliko ya Baraza la Mawaziri hivi karibuni. Pengine Boss Lady keshatonywa kuhusu hilo.

Enyi maprofesa na madokta, muda wenu wa kurudi vyuoni umefika sasa. Si mlikuwa mnakenua meno na kusema Mama anaupiga mwingi!? Hiyo ndiyo habari ya mjini, Mh. Ummy wizara ya elimu utafanya vyema kuliko hii uliyonayo hivi sasa.
 
Ukimsikiliza mwanasiasa ambaye mtoto wake anasoma internation school utajua hujui.
Unasoma shule ya kata isiyo na mwalimu wa physics wala hesabu then unakatazwa usiende masomo ya ziada
na unafuata pole.
Waziri kazilenga hizo shule za private,hizo ndio zimeanzisha taratibu za kubakisha wanafunzi shuleni kipindi cha likizo huku wakiwapa wazazi amri kutoa pesa nyingine nje ya ada ya kawaida
 
Huyu Ummy hajakutana na mkuu wa mkoa wa Dodoma Anthony Mtaka
rc alimshambukia ndalichako akawa hana la kumfanya pasi ikapigwa kwa ummy tuone sasa rc aseme swi!
 
hii ndio wizara kubwa, serikali ya Tanganyika ndani ya muungano
 
Waziri kazilenga hizo shule za private,hizo ndio zimeanzisha taratibu za kubakisha wanafunzi shuleni kipindi cha likizo huku wakiwapa wazazi kutoa pesa nyingine nje ya ada ya kawaida
Hata shule za serikali walianza huu mchezo ikifika likizo tu hakuna kufunga.

Mnaenda shule mwanzo mwisho sababu madarasa ya mitihani.

Tena na pesa juu mnatozwa hatari sana.
 
Ukimsikiliza mwanasiasa ambaye mtoto wake anasoma international school utajua hujui.
Unasoma shule ya kata isiyo na mwalimu wa physics wala hesabu then unakatazwa usiende masomo ya ziada
na unafuata pole.
We utakuwa mwalimu wa kati ya hayo masomo. Hata hivyo, watoto wanahaki ya kupumzika mbona zamani haya hayakuwepo na tulipita fresh tu?
 
hii ndio wizara kubwa, serikali ya Tanganyika ndani ya muungano
Aliyetangulia alikuwa ni "PhD holder" hivyo aliwavuta "elites" wenzake wanukie waridi ijapokuwa ya kwake ilikuwa na utata mwingi. Huyu wa sasa hasukumwi na uwepo wa "elites" ndani ya serikali yake, ijapokuwa alilazimika kuwa na Makamu wa Rais ambaye ana jiwe la kitaaluma.

Ni kipindi kifupi kijacho atapewa shahada kadhaa za uzamivu za heshima ili aweze tu kutambulika na kutambulishwa majukwaani kama msomi wa hadhi ya udaktari.
 
Acha kuwaza vitu vidogo na visivyo na maana kupata ajira ni connection na bahati ya mtu. Mimi kama sio tuition saivi ningekua zangu porini. Nimesoma form four sina teacher wa physics sasa unaniambia nisiende tution kisa sitajua komputer na lugha. This is nonsense. Kwani kila kazi zinahitaji ujue komputer na lugha?
 
mafuta yamepanda tayari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…