ADAM SADAM
New Member
- Sep 16, 2021
- 3
- 3
Habari ndugu msomaji wa andiko langu la leo ijumaa 17 september 2021 litaangazia maendeleo yetu katika jamii na taifa kwa ujumla naomba ungana na Mimi tushere wote hizi pointi
MAENDELEO NI NINI
maendeleo ni hali ya mabadiliko chanya kutoka sehemu moja kwenda sehemu bora zaidi
mwalimu Nyerere katika kitabu chake alichambua maendeleo maendeleo kwa kuyagawa katika dhana ya falsafa na siasa ambavyoni
*maendeleo katika Uhuru na utu(development in freedom and humanness)
*maendeleo katika usawa na haki(development in equality and justice)
Maendeleo katika uhuru na utu
Tanzania ni nchi yenye uhuru na utu ili kupima kigezo hili jiulize mambo haya kisha jipe jibu
*je we kama raia unao Uhuru wa kutoka maoni?
*je unao Uhuru wa kuchagua kiongozi unayemtaka bila kumsukumo au hila zozote?
*je unao Uhuru wa kufikisha maoni ,hoja kwa mamlaka?
*je unao Uhuru wa kufanya maandamano ya amani
*je unao Uhuru wa kupata ulinzi wako na Mali zako?
Ukipata majibu yako yaweke pembe alafu twende tuangalie
maendeleo katika usawa na haki(equality and justice)
kama tulivyopata majibu yetu upande wa uhuru na utu vilevile tuna sababu za kujiuliza katika vyombo vyetu vya kulinda haki zetu mfano jeshi la polisi,mahakama,na chombo cha wawakilishi wetu(representative)
Yaani binge kama vinatimiza majukumu yao inavyopaswa basi misingi ya maendeleo itakuwa imara na maendeleo huweza kufikiwa
vipimo vya maendeleo
ili kupima maendeleo lazima uanzie kuangalia misingi inayojenga maendeleo kama mwakimu Nyerer alivyoichambua yaani ata raia huwezi kumiliki mali kubwa ,nyumba kubwa kwa kuuza madawa ya kulevya au kufanya unyanganyi hapana haya maendeleo yatakuwa batili na ukigundulika utafungwa na mali kutaifishwa au vinginevyo hivyo na taifa haliwezi kuendelea bila kuwepo uhuru,utu,usawa na haki.
pamoja na misingi hiyo pia mwananchi mmoja mmoja,taasisi kwa taasisi,vyama kwa vyama ,na taasisi au vikundi vyenye ushawishi wa watu vina ushawishi mkubwa wa kuweza kuleta chachu ya maendeleo iwapo wataamua kuungana na kusema sasa tujenge nchi yetu kwa pamoja sisi ni watanzania,yaani ifike wakati mfano CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM) na CHADEMA waamue waseme na kwa vitendo kuwa sisi sote ni watanzania tuweke chini dhana ya uchama tuungane tupendane tushirikiane tuijenge nchi na tokosoane kwa hoja ,na tushindane wakati wa chaguzi baada ya hapo tuwe pamoja kwa maslahi yetu wote hivyo hivyo Vilabu vikubwa hapa nchini SIMBA na YANGA ikafika wakati wanaungana wote wanasaidiana wanapendana ila wanashinda wakati wa mechi ila baada ya hapo wanahamasishana kuleta umoja,upendo ,vile vile vikundi na taasisi za dini zinaungana katika masuala ya kijamii na wanaachana kanisani na msikitini hapa dhana ya maendeleo itakuwa na uimara mfano angalia hiyo picha kisha ya mfano hapo
MASHABIKI NA WANACHAMA WA CLABU YA SIMBA WAKIFANYA USAFI KATIKA TAWI LA CLABU YA YA WANANCHI YANGA AFRICAFC RUAHA MBUYUNI IRINGA KUELEKEA SIMBA DAY
ukisikia maendeleo hayana chama huwa inamaanisha nini
Mantiki hapa ni kuwa tunaweza kutumia ushawishi wa taasisi ambazo tayari zina umoja ,upendo ,nguvu na mshikamano tukayaunganisha pamoja tukaunda dude kubwa yaani group la watu wenye upendo,mshikamano na umoja,Hakika nani atakataa kuwa ukimchukua shabiki wa simba wao kwa wao wanapendana kufa MTU alafu waambie wafanye kitu kwa umoja wao huone ! Yaani dakika sifuri wataamasishana kila kitu kitaenda sasa wachukue mashabiki wa yanga wao kwa wao uone ! Yaani wataungana kama ndugu ata kuliko ndugu wa damu .
HAPA NI MFANO MZURI SIMBA KAANZISHA
YANGA FC NAO KESHO WAKAFANYA HIVYO HIVYO KWA SIMBA
NA HATIMAYE MAHABA YOTE YAKAANZIA KWENYE SIMBA NA YANGA YAKAWAUNGANISHA JE SI TAIFA ZIMA LITAKUWA LIMEUNGANISHA UNDUGU
kwa ujumla maendeleo hayaji bila umoja ,hayaji,bila usawa,utu,Uhuru upendo na mshikamano ikitokea kundi flani kwa rangi zao au ushabiki wao au uanachama wao wakalitazama kundi kingine lisilo kuwa lao wakaliona kama maadui,wapinzani,maasimu na wote wakatazamana kwa mitazamo hiyohiyo ikikomaa kila mmoja akamtazama mwenzake kama gaidi,haini,msaliti,adui hapa utanzania utanzania na nembo yetu ya taifa haita kuwa imetendewa haki na matokeo take visasi vitakuwa vikubwa ata mungu aliyetutunuku ardhi akatuwekea ,vivutio,madini,wanyama mpaka madini pekee duniani siku akishusha adhabu ya tsunami haitaangalia nani wakumuacha bali sote tutapata adhabu KONGOLE WANACHAMA WA SIMBA WENGINE TUIGE HUU NDIO UTANI HASWA!

Upvote
1