I recall ccm ilisha wa terminate baadhi ya wanachama wake based on the same thing.Lisu/Heche et all , for that matter Chadema mnajidanganya, Umoja ni nguvu, utengano ni udhaifu. Sidhani kama nguvu yenu na heshima yenu itabaki kama ilivyokuwa
Na G 55 pia, Umoja ni nguvu utengano ni udhaifu. Sidhani kama mtakako kwenda mtapata heshima kama mliyokuwa nayo chadema, likewise Chadema heshima, nguvu mliyokuwa nayo haiwezi kubaki kwenye level ile ile!
TIME WILL TELL
Vipi kakupa Mimba kisha kakimbia?Heche mtu wa hovyo sana
Bahari haikai na uchafu. Kwa sasa cdm itakuwa imara zaidi baada ya hilo kundi la wasaka vyeo kuondoka. Umoja ni mzuri kama uko na watu wanaokubali kushindwa, kubaki na kakundi cha wasaka vyeo ni kujitakia matatizo. Waende pengine waache uongozi mwingine ufanye kazi. Cdm ina wafuasi wanaojitambua.Lisu/Heche et all , for that matter Chadema mnajidanganya, Umoja ni nguvu, utengano ni udhaifu. Sidhani kama nguvu yenu na heshima yenu itabaki kama ilivyokuwa