Kosa kubwa lililofanywa na kundi hili (lililoanzisha hiki chama) ni kuweka picha ya mtu aliyeumiza watu wa makundi tofauti tofauti nchi hii kwenye kofia na tshirt za chama chao.
Mtu waliyemuweka kama nembo aliumiza:-
- WAKULIMA . huyo mtu aliwatesa wakulima kwa kukataza wasiuze mazao yao mahala wanapotaka ikiermo nje ya nchi. Mkulima alime mwenyewe, anununue pembejeo mwenyewe na avune bila kusaidiwa na serikali eti kwenye kuuza napangiwa masharti.
-WAFANYABIASHARA. Aliwafukarisha kwa kupora fedha zao na kuruhusu machinga wazagae kwenye milango ya maduka yao
-WAFANYAKAZI.
Hakuwahi kuwaongeza mishahara wala kuwapandisha madaraka
-WANACCM WAKONGWE. Aliwabagaza wanacccm waliokipigania chama kwa jasho na damu na kisha kukifanya kuwa imara mpk yeye akiingia ikulu.
Chama hiki cha sukuma gang (Umoja Party) kimekosa mvuto na kimekufa hata kabla ya kupata usajili wa kudumu.