johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Kweli kaiunganisha Afrika kwa kuchoma vifaranga kutoka Kenya na kumzuia raia wa Misri hasiwe mtendaji mkuu wa vodacom Tanzania.
Habari nzima imejaa vitu vinavyoashiria fake news (likiwemo jina la waziri). Unaunganishaje nchi za Afrika kwa kuchoma vifaranga toka nchi jirani yako (ukiwa ni mfano mmoja tu)?
Umepewa source bwashee!Habari nzima imejaa vitu vinavyoashiria fake news (likiwemo jina la waziri). Unaunganishaje nchi za Afrika kwa kuchoma vifaranga toka nchi jirani yako (ukiwa ni mfano mmoja tu)?
Mbatizaji huoni hata soni mzee wangu? Haya bwana, hajasema Afrika inatamani angekuwa Rais wa bara zima?
Sent using Jamii Forums mobile app
Pakua app ya ITV utaikuta acha uvivu!Ina maana mpaka sasa hivi Gerson Msigwa hajaipata hiyo taarifa? au wewe umetunga
Kama huku anakofanya Rais Magufuli....... Mnakuwa na ubia kwenye vitega uchumi!Lakini Mwalimu Nyerere alipinga hoja ya akina Kwame Krumah & Co. ya United States of Afrika, hivyo sielewi alitaka kuiunganisha Afrika ipi?
Umekaririshwa huo wimbo nawe umekukaa!Sijui Sera yanu ni IPI,kila kitu kupinga tu,kuna siku mtapinga kuwa ninyi si wakiume,mchawi mpe sufa zake,viva jpm
Sent using Jamii Forums mobile app
Kamishna wa AU mh Bade kwa niaba ya Umoja wa Afrika amempongeza kwa dhati Rais wa Tanzania Dr Magufuli kwa kuzitekeleza kwa vitendo ndoto za mwalimu Nyerere za kuiunganisha bara la Afrika.
Bade ametoa pongezi hizo jijini Arusha wakati akiweka jiwe la msingi la ujenzi wa jengo la makao makuu ya mashirika ya Posta Afrika ( PAPU)
Jengo hilo litamilikiwa kwa ubia kati ya PAPU na serikali ya Tanzania ambapo PAPU itamiliki 60% na GoT kupitia TCRA 40%
Sherehe hiyo imehudhuriwa na viongozi mbalimbali wa barani Afrika na Tanzania tumeongozwa na Waziri wa ujenzi na mawasiliano mh Kamwele.
Chanzo: ITV habari!
Sijui Sera yanu ni IPI,kila kitu kupinga tu,kuna siku mtapinga kuwa ninyi si wakiume,mchawi mpe sufa zake,viva jpm
Sent using Jamii Forums mobile app
Bwashee 1985 ulikuwa hunywi chai wewe?Ahaaaa ahaaaa mzee Mgaya, hivi bado kuna viongozi wanaongea ndoto za Nyerere karne hii!? Hawajui ilibidi atoke madarakani huku wananchi wakiwa wanavaa viraka, na kunywa chai ya sukari ilikuwa anasa? Angewaunganisha hao waafrika si angeishia kuambukiza umasikini wetu na ukondoo kwa kichaka cha amani?
Kwani wewe Chadema haikupi kila kitu?Bila shaka CCM inakupa kila kitu...sio kwa huu utumwa wako mkuu
Bwashee 1985 ulikuwa hunywi chai wewe?
Mwaka huo mchungaji Msigwa alikuwa akituuzia mitumba mikali pale Miyomboni Iringa mjini.....maisha yalikuwa mazuri bwashee!
Mwaka huo hali ilikuwa nzuri tofauti na 1980 baada ya ile vita ya kumtoa Nduli Amini!Kunywa chai yenye sukari ilikuwa anasa achia mbali viraka vilivyokuwa vimetuandama. Nakumbuka nilipokuwa mtoto chai ilikuwa inapikwa siku kuna wageni, ila uji wa chumvi ndio ilikuwa habari ya mjini. 1984 siwezi kusahau mtoto wa jirani yetu aliniazima suruali niendee kanisani, niliishia kuifunga na kamba ikawa imeweka celebration japo haikushonwa na celebration!