Umoja wa Afrika ( AU) wampongeza Rais Magufuli kwa kutekeleza kwa vitendo ndoto za mwalimu Nyerere za kuiunganisha Afrika

Naona arusha majengo ya maana yanaendelea kuongezeka kila uchao safi.

Na kweli wajenge jengo la maana kale kaofisi hakakuwa na hadhi ya an international organisation office. Hongera TCRA kuwapiga tough. Tanzania ni mdau muhimu sana wa AU na Taasisi nyingi za kikanda.

Juzi hapa Kenya wameshaanza kulialia eti kwann idara nyingi za EAC zipo Tanzania wanataka mgawanyo sawa among members!



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naomba account yako ya tweeter niku follow tuchambane kule maana huku hakuna uhuru.
 
"Juhudi za kuunganisha Afrika" kwa kujenga jengo? Kama ndivyo si awapongeze makampuni ya simu yaliyounganisha Dunia nzima!
 
Rubbish
 
Mkuu hao n
Sijui Sera yanu ni IPI,kila kitu kupinga tu,kuna siku mtapinga kuwa ninyi si wakiume,mchawi mpe sufa zake,viva jpm

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hao nyumbu achana nao kabisa. Yaani ikitokea Rais akashukuru kwa mvua nyingi kunyesha na kuleta uwezekano wa chakula kingi kupatikana, wao wanaweza kupinga hakuna mvua Tanzania na kudai yale ya Jangwani ni matokeo ya ukame na sio mvua! Na watapinga mpaka wajiaminishe wameshinda!
 
Ujinga mzigo
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…