Umoja wa Afrika (AU) Waridhia kumuunga mkono Dkt. Tulia kuwa mgombea pekee kutoka Afrika nafasi ya Urais wa Jumuiya ya Mabunge Duniani

Umoja wa Afrika (AU) Waridhia kumuunga mkono Dkt. Tulia kuwa mgombea pekee kutoka Afrika nafasi ya Urais wa Jumuiya ya Mabunge Duniani

Yaani Waafrika utumwa ni jadi na mnastahili kuendelea nao! Huyu kiazi asiye na hata chembe ya demokrasia! Nina wasiwasi hata phd ni ya chupi tu stupid! Kwa jinsi nilivyofuatilia DP word ratification HUYU ni tumbili tu!
Ni kichaa na mwendawazimu anaweza kumchagua huyu ajuza na roho mbaya yake kama sura ake
 
20230815_185717.jpg
 
Hii Nchi sasa kila mtu anataka kuombewa

Yaani Mungu aache kuwasilikiza maombi ya Warussi na WaUkraini wanaopigana vita aje asikilize maombi ya Wanasiasa wetu hawa 🙌
 
Tuna watu wapo out of touch...., Hii katika Historia ilitokea kule Ufaransa yaani watu wapo cloud nine; Ni kama ile Story ya Watu wanalalamika Hakuna Mkate Malkia anashangaa kwanini wasile Keki....
 
Umoja wa Afrika (AU) umeridhia kumuunga mkono Spika wa Bunge la Jamhuri ya Mungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Tulia Ackson (Mb) kuwa Mgombea pekee kutoka Bara la Afrika wa nafasi ya Urais wa Jumuiya ya
Mabunge Duniani (Inter-Parliamentary Union-IPU).

Uamuzi huo ulifikiwa katika Mkutano wa 43 wa Baraza la Mawaziri la Umoia wa Afrika uliofanyika Jijini Nairobi, Kenya tarehe 13 hadi 14 Julai, 2023 baada ya Baraza hilo kupokea na kuridhia ombi la Seriali ya Tanzania la kumuunga
mkono Mheshimiwa Dkt. Tulia Ackson (Mb) katika kugombea nafasi hiyo.

Mheshimiwa Dkt. Tulia Ackson (Mb) tayari ameungwa mkono na Bunge la Afrika (PAP), Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki (EALA) na Jukwaa la Mabunge ya Nchi za Kusini mwa Afrika (SADC PF) katika kugombea nafasi hiyo. Uchaguzi wa Rais wa Jumuiya ya Mabunge Duniani (Inter-Parliamentary Union-IPU) unatarajiwa kufanyika tarehe 27 Oktoba, 2023 chini Angola.

View attachment 2693079
Hongera Sana Prof Tulia
 
Watanzania sijui lini tutajitambua, hivi kweli mtu anapata nafasi ya kuwakilisha taifa, halafu tunakuwa mstari wa mbele kutoa kejeli na dharau kwa walioona ana sifa, vigezo na uwezo wa kuwa mgombea wa nafasi tajwa! Hakika mungu ni mkubwa na ndiye atakayeamua nani awe kwenye nafasi hiyo, chuki zenu sana sana zinazidi kumpaisha kimataifa! Hongera Mheshimiwa daktari Tulia Akson!
Alipoiba kura je mbeya bora James delicious sio hili maku
 
Atashindwa vibaya sana.
Ameshindwa kulinda maslahi ya Taifa katika nchi yake.
Watu weupe sio wajinga wale.
 
Back
Top Bottom