#COVID19 Umoja wa Afrika wazindua Pasi ya Kielektroniki ya Chanjo ya Covid-19

#COVID19 Umoja wa Afrika wazindua Pasi ya Kielektroniki ya Chanjo ya Covid-19

Lady Whistledown

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2021
Posts
1,147
Reaction score
2,008
Umoja wa Africa umezindua pasi ya kielektroniki ya chanjo ya #COVID19 , itakayoonesha uthibitisho wa mhusika kupatiwa aina fulani ya Chanjo, ambayo inanuiwa kuwezesha usafiri rahisi ndani na nje ya Afrika.

Inaelezwa kuwa pasi hiyo itakuwa katika muundo wa kidijitali, ambapo “QR Code” itaskaniwa ili kuonyesha uthibitisho kwamba mtu amepata chanjo ya Covid-19 na ana cheti halali cha chanjo.

Aidha, Kaimu Mku wa CDC Afrika, Ahmed Ogwell, anasema e-passport hiyo itapanuliwa hivi karibuni ili kujumuisha vyeti vingine kama vile Homa ya Manjano.

===========

An African Union vaccine e-passport has been introduced, which is intended to enable easier travel within and outside Africa.

The passport will be in digital format. A QR code will be scanned to show proof that someone has been fully vaccinated against Covid-19 and has a valid vaccine certificate.

It was launched on Friday, which is Africa Integration Day, at a virtual event attended by some African heads of state and other global health leaders.

Acting head of Africa CDC, Ahmed Ogwell, says the vaccine e-passport will soon be expanded to include other certificates such as Yellow Fever.

He added that the Africa CDC was also holding talks to link the passport to other global systems.

SOURCE: BBC
 
Back
Top Bottom