Pre GE2025 Umoja wa Bodaboda na Bajaji: Hatutashiriki Maandamano ya CHADEMA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hawa chawa wacheche walionunuliwa na CCM hawawezi kurudisha nyuma maamuzi ya ukombozi wa Taifa la Tanzania hapo keshi 23rd.
 
Hawa chawa wacheche walionunuliwa na CCM hawawezi kurudisha nyuma maamuzi ya ukombozi wa Taifa la Tanzania hapo keshi 23rd.
Unadhani wachagga ambao hawafiki hata milini nne wanaweza shindana na watanzania milioni sitini?
 
Ni vizuri sana tena sana na kura za wenyeviti wa mitaa pigieni chama pendwa na uchaguzi ujao pigieni chama pendwa nitakuja kuwadharau kwa mara ya kwanza kabisa muanze kulalamika nitawatolea vyeo vyote.

Kweli kuna mataifa hadi mwisho wa dahari yatabaki kama yalivyo Mzee baba HAMU aliteleza hasa.
 
Ni jambo jema kuwaachia Wanasiasa na Siasa zao 🐼
 
Hiyo nayo ni kazi!? Hiyo ni laana tu
 
Hivi Kuna shirikisho la boda na bajaji??
 
Huo umoja ndio nausikia leo , walikuwa wapi siku zote ?

Hawa ndio wale wale makada wa CCM waliojificha kwenye kivuli cha umoja wa wahandisi na wakandarasi.
 
Hivi vi clip vya mchongo vingiii. Yaani mnamuandalia Dkt Samia anguko! Dah
 
Nchi yetu wajinga ni wengi.
Kati ya kundi ambalo wengi wao hufa kabla ya wakati ni bao bodaboda, wakiaminishwa ni kazi
Ndio maana mimi huwa nasema kupoteza muda na nguvu zako kuwapigania watanzania ni kazi bure.

Waafrika hasa watanzania wana upumbavu wa milele.

Watanzania sio watu wa kuwapigania ni kuwaacha na mashida yao yawapige kisawasawa mpaka pale akili zitakapo funguka.

Hakuna haja ya kuhangaika, kuwatetea na kupigania haki za wajinga.
 
Hawa Vijana Wangetulia Tu Kuongea Maandamano Ndiyo Mnayapa Nguvu
Wakae Kimya
 
Hivi kuna mtu amewaita bodaboda kushiriki hayo maandamano?
 
Naona mamluki wameanza kununua airtime kuhadaa Umma, hawaelewi maandamano ya amani ni haki ya msingi kikatiba, kitendo cha kutotambua hilo ndio maana viongozi wetu wamejigeuza miungu watu maana wamegundua raia wanaowaongoza akili zao zimejaa ugali tu, hawajui haki zao na wala hawana mpango wa kuzijua.

Hawaelewi wana haki ya kuandamana na wakati huo wa maandamano Jeshi la polisi linapaswa kuwalinda na siyo kuwazuia.


F**cking kantri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…