MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 14,588
- 32,361
Wamefanya vyema sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mzee Mbowe ni jitu la ovyo saaana aisee,anatrka vijana wake mwenyewe tena wa kichagga ananza kupiga mayowe eti ni polisiWalitunyanya sana wakituita sukumagang
Hapo ndio mnapofeli ,yaani wasikubaliana na mawazo ya saccos wanapewe majina ya ajabu mara ni wapumbavu ,maskini au hawana akili.Acheni kuiga maneno ya yule mvuta bangi toka machame anaishi ArushaEti Umoja wa maskini nao wana toa tamko
Kwani Watanzania wote ni wajinga kama wewe? Nchi ni mchanganyiko wa watu mbalimbali:Unadhani wachagga ambao hawafiki hata milini nne wanaweza shindana na watanzania milioni sitini?
Wewe umesahau kuwa umejitoa ufahamu kuhusu saccos ya mzee mbowe?Kwani Watanzania wote ni wajinga kama wewe? Nchi ni mchanganyiko wa watu mbalimbali:
1) Werevu wanaojitambua, wenye mapenzi mema kwa Taifa lao, wanaochukia ushetani unaofanywa na mtu au taadidi yoyote ilo dhidi yamwanadamu yeyote.
2) Wajinga na punguani, ambao hawaelewi chochote, alimradi.tumbo linashiba. Kwenye kundi hili nfimo walimo machawa wote.
3) Vichaa na watu wanafiki wa kujipendekeza ili tumbo lishibe.
Hao boda boda wanafiki, baada ya kupewa pikipiki za bure na Samia, wanaamini kwa kujitoa ufahamu zaidi kwa namna hii ya sasa, huenda wataongezewa nyingine.
Hao wapuuzi hata watoe matamko ya namna gani, hayatabadilisha chochote kilichoamriwa na watu werevi, wanaoipenda nchi yao, wanaoyhamini uhai wa binadamu wote, na kuchukia utekaji na mauaji ya kila anayekosoa Serikali na Rais.
Hao tayari wametoa tamko lao, japo ni la kijinga. Waende wakawambie Samia kuwa tayari wametoa tamko,awape rushwa yao kwaajili yakupofusha ubongo wao.
Mbona huwa mnawatumia kwenye maandamno yenu ?unataka kuwa mjinga kama Lema aiseeBodaboda ni laana ndio maana unaona hawajielewi kiufupi bodaboda sio kazi
Bodaboda ni laana sio kazi mjinga ni weweMbona huwa mnawatumia kwenye maandamno yenu ?unataka kuwa mjinga kama Lema aisee
Kwa hiyo mnatumia waliolaniwa kwenye misafara yenu uchwara ?ndio maana mnaitwa misukule ya mzee mbowe ,bure kabisa eti mnataka kupewa nchi ?🙆♂️🙆♂️🙆♂️Bodaboda ni laana sio kazi mjinga ni wewe
Hatuna boda boda sisi kwenye msafara itakua umechangayikiwaKwa hiyo mnatumia waliolaniwa kwenye misafara yenu uchwara ?ndio maana mnaitwa misukule ya mzee mbowe ,bure kabisa eti mnataka kupewa nchi ?🙆♂️🙆♂️🙆♂️
Hawa ni cuf sio👇Hatuna boda boda sisi kwenye msafara itakua umechangayikiwa
Huyu anayejiita kiongozi bodaboda yake anapaki kijiwe gani?Shirikisho la waendesha bodaboda na bajaji Nchi Tanzania leo Septemba 22, 2024 wametoa msimamo wa kutokushiriki maandamano ambayo yamepangwa kufanyika siku ya Septemba 23, 2024 Mkoani Dar Es Salaam yaliyotangazwa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA.
Msimamo huo umetolewa na Mwenyekiti wa Shirikisho la waendesha bodaboda na bajaji kwaniaba ya wanachama wote Nchini na kusema kuwa tunu ya amani ya Nchi ni kubwa kuliko kitu chochote hivyo hawawezi kuishi kwa wasiwasi endapo wataandamana hawataweza kuthamini mali zao.
Pia soma:
~ Freeman Mbowe: Tutaandamana kudai watu waliopotea
~ Kuelekea 2025 - Rais Samia: Pikipiki zako za CCM zimeongeza ufanisi wa kiutendaji, zilizobaki naomba wapewe wenyeviti wa kata
Pia Katibu wa Shirikisho hilo Michael Liganya amesema wakishiriki maandamano hayo watakuwa wametengeneza matatizo makubwa kwa sasa katika Nchi ya Tanzania bodaboda hawapo tayari kuwa miongoni mwa wavunjifu wa amani.
Aidha msemaji wa Shirikisho la waendesha bodaboda na bajaji Tito Lazaro amesema hakuna bodaboda atakae andamana siku ya Septemba 23 hivyo wataendelea na shughuli zao za kila siku zinazowawezesha kupata kipato na kuendesha maisha yao.