P paschal Martin JF-Expert Member Joined Jul 30, 2020 Posts 401 Reaction score 385 Aug 18, 2020 #21 Ndoto za Iran kuifuta Israel kwenye ramani ya Dunia zinapotea wanakosa washirika wanajiunga na Israel baada ya Israel kulipua shehena za silaha za hezbollah huko beiruti waarabu wameikubali Israel
Ndoto za Iran kuifuta Israel kwenye ramani ya Dunia zinapotea wanakosa washirika wanajiunga na Israel baada ya Israel kulipua shehena za silaha za hezbollah huko beiruti waarabu wameikubali Israel
mbalaka JF-Expert Member Joined Oct 7, 2017 Posts 2,240 Reaction score 2,629 Aug 18, 2020 #22 Turkey anatishia kusitisha Uhusiano wake na UAE