paschal Martin
JF-Expert Member
- Jul 30, 2020
- 401
- 385
Ndoto za Iran kuifuta Israel kwenye ramani ya Dunia zinapotea wanakosa washirika wanajiunga na Israel baada ya Israel kulipua shehena za silaha za hezbollah huko beiruti waarabu wameikubali Israel