Top Gun
Member
- Dec 11, 2024
- 49
- 171
Umoja wa Kisovieti/USSR/Russia pia walicheza moja ya nafasi ya kuwadanganya Waarabu wa Wapalestina kama njia ya kuisababishia matatizo Israeli.
Wakati Israeli ilipoundwa upya mwaka wa 1948, Wasovieti walifikiri kwamba Israeli inaweza kuwa wakala wao katika Mashariki ya Kati kwa sababu walikuwa na tabia za ki-ujamaa pia kulikuwapo na kundi kubwa la wayahudi waliotoka kutoka Urusi.
Israel ilipotangaza kuwa watakuwa taifa la kidemokrasia, Wasovieti waliapa kuiumiza Israel kwa kusaidia kuunda PLO na kumwajiri Yasser Arafat kuongoza mashambulizi ya kigaidi dhidi ya Israel kuanzia mwaka 1964.
Lengo zima la mpango huu wa PLO ulikuwa ni kutengeneza utambulisho wa taifa kwa Waarabu. ambao waliishi Palestina na kuwafanya wapigane na Israeli chini ya kivuli cha "kuikomboa Palestina"
Hakuna chochote katika rekodi ya kihistoria kuhusu Waarabu wa Palestina kabla ya 1964 . Waarabu waliwataja Wayahudi kuwa ndio Wapalestina, kabla ya Wayahudi hao kujiita Waisraeli. Wasovieti waliunda uongo kwamba Waarabu waliokuwa wakiishi Palestina ni watu wa kiasili ambao waliibiwa ardhi yao na Wayahudi wa kikoloni kutoka Ulaya (ingawa nusu ya Wayahudi waliishi katika nchi za Kiarabu kwa miaka 1500).
Waarabu hawa waliokuwa wakiishi Israel Walijiita Wasyria Kusini hadi PLO ilipokuja - kuna uthibitisho mwingi katika rekodi ya kihistoria. Hiyo ni kwa sababu caliphate iliitawala Palestina kutoka Damascus.
Yerusalemu ulikuwa mji mkuu wa Wayahudi na Wakristo tu. Waarabu kwa hakika wana historia ndefu katika ardhi ya israel lakini viongozi wao wenyewe wameeleza wazi kwa miaka mingi kwamba Wapalestina walikuwa Wayahudi.
Wanasovieti pia waliunga mkono Misri, wakiwapa silaha kushambulia Israeli mara nyingi, hadi 1974.