MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 14,588
- 32,361
Nawasalimu kwa jina la Chama Cha Mapinduzi....
Ninaandika kwa huzuni kwa niaba ya mabilionea wenzangu kina Azam, GSM, Vunjabei, Platnumz, Shishibaby, Bill Nas, na wengine ambao hawapendi kutajwa kama Soggy Doggy Anter. Ni kuhusu vitendo vya kipuuzi vinavyofanywa na bilionea mwenzetu kwa jina la Mo Dewji. Haya matendo ya siku za hivi karibuni ni baada ya kusimamishwa kazi kwa mfanyakazi wake aitwae Manara.
Kabla ya kuandika hapa tayari nimepokea simu nyingi na msg toka kwa mabilionea wa nchi mbalimbali kama vile Abramovich, Kamene Goro, Manzi wa Kibera na Mark Zuckerberg. Wote walinisihi nifanye niwezavyo kutuliza huu upepo ili kutopoteza imani kwa wananchi.
Sisi mabilionea tunamtaka aache huo ujinga ili kutowakatisha tamaa watanzania wengine wanaopambana kuja kuwa kama sisi. Kuwa bilionea sio dhambi... ni haki ya kila binadamu anayefanya kazi kwa bidii na maarifa.
Endapo hatajirekebisha basi sisi mabilionea hatutasita kumchukulia hatua kali za kinidhamu ikiwemo kumkodia PRIVATE JET ili akajitafakari kwa wiki nzima huko Miami Beach, Maldives, Dubai au kwengineko duniani ambako kuna bata za kibilionea.