Umoja wa mabilionea tumefedheheshwa na kilichofanywa na mwenzetu Mo Dewji

Mjomba umepiga K vant,double kick,konyagi,gongo au yoyote ile ili niwajulishe waipunguze makali maana naona imekuzidi uwezo
 
diranqhe haya ndio tuliyokutuma?
Jambo la kwanza tulisema MO sio billionea Ila Ni msimamizi wa Mali za baba yake Gulam Dewji, otherwise utuambie alianzaje biashara.
Kwani hata mtoto wa Bill G huwezi kumuita bilionea mpaka Bill afe kwanza na dogo arithishwe Mali.
 
πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ nimecheka sana
Mkuu ina mana mi simu yangu hujaiona nnavyokupigia?mimi kama bilionea wa Unguja nimesikitishwa pia
πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„ Imagine toto la Tandale Diamond, Mange, Mrisho Mpoto na Manara mwenyewe wakushambulie kwa maneno utajisikiaje? Mo yamemkuta
 
🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
Aisee,umepandisha mabega kweli kweli , usikute hata gwala mfukoni huna,maana kujinadi namna hii si kawaida.

Halafuu,mbona kuna mambo ya maana zaidi ya kufikiria kuliko ujinga huu,hasa ukizingatia mlolongo wa matatizo dunia inayopitia kwa sasa.Yaani akili zenu zimepofushwa kiasi hicho.
 
MO alitakiwa kutokuongea kabisa na mtandaoni afanye mambo yake ya kila siku kawaida, Manara angekausha tu. Tatizo anajazwa na yeye anajaa wahuni wanampiga kwenye mshono [emoji23][emoji23]
 
Wewe tangu lini ukawa bilionea wakati mshahara wako ni laki 7 kwa mwezi? Wadanganye wendawazimu wenzio!
 
[emoji1][emoji1][emoji1] Imagine toto la Tandale Diamond, Mange, Mrisho Mpoto na Manara mwenyewe wakushambulie kwa maneno utajisikiaje? Mo yamemkuta
Maneno ni pesa...

Wanazo?!
 
MO alitakiwa kutokuongea kabisa na mtandaoni afanye mambo yake ya kila siku kawaida, Manara angekausha tu. Tatizo anajazwa na yeye anajaa wahuni wanampiga kwenye mshono [emoji23][emoji23]
Katika hao wahuni kuna Kigogo2014, Manara, Mange, Mjomba Mpoto .. toto la Tandale bado halijatamka kitu... πŸ˜„πŸ˜„
 
Unasemea ubillionaire wa Tshs au wa dollar?
 
πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„ Imagine toto la Tandale Diamond, Mange, Mrisho Mpoto na Manara mwenyewe wakushambulie kwa maneno utajisikiaje? Mo yamemkuta
Yamemkuta makuu mo,amejua hajuiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…