machafuko jr
JF-Expert Member
- Sep 7, 2017
- 565
- 1,158
Hivi hapa dar kuna chief yupi na yupi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawatafanikiwa kutugawa....wanapoteza muda tu.Waganga njaa tu, uchifu hautambuliki Tanzania na hatuutaki urudi tena.
Usiitukane nchi/Taifa ulimo zaliwa na kukulia humo....Nchi ya hovyo Sana hii
Mnakosea sana wakuu ...hii sio poaTuna Rais wa Hovyo.
True tena ndio waliowauza mababu zetu kwa wakoloni.Machifu wana umuhimu gani karne hii zaidi ya kujihusisha na uchawi, ushirikina, uganga na matambiko...........mkiendekeza mambo kama haya mtarudi zama za mawe na maendeleo yatakuwa ndoto.
Rais amefufua wafu.Nimeamini Raisi ni mtu mkubwa Sana Kwa Tanzania na Africa Kwa ujumla
Hawa machifu ni wajinga sana,kwani hawajui kuwa sheria ndio haitambui uwepo wao...fools!Umoja wa Machifu Mara umekutana na vyombo vya habari nakutoa Onyo kwa baadhi ya Wanasiasa wanaotoa matamshi ya kuonesha kutotambua umuhimu wa Machifu nchini na kuwasihi watanzania wawaone Wanasiasa hao kama watu wenye nia ya kuvunja umoja wa kitaifa.
Pia soma > Humphrey Polepole: Mambo ya machifu hayana msaada kwa taifa, yanaweza kuleta ukabila na mgawanyiko, yanapaswa kupingwa
Mwenyekiti wa Machifu Mkoa wa Mara, Japhet Wanzagi amesema kuwa kama mnavyojua Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan ndiye mkuu wa Machifu wote nchini kwa jina la Chifu Hangaya sisi kama Machifu wa mkoa wa Mara tumejipanga kumpokea Chifu wetu.
Kuna mtu alikuwa anasema Machifu hawakuwepo, machifu walikuwepo muda mrefu tangu kipindi cha mkoloni. Mtu anayesema Machifu walipandikizwa na mkoloni na wakaondolewa na Baba wa Taifa huyo ni muongo.
Machifu walitolewa kwenye mamlaka ya Serikali lakini walirudi kuwa viongozi kwenye jamii zao, ila katika kipindi cha awamu ya Sita, Rais Samia ametupa heshima sana Machifu.
Majukumu yetu makubwa sisi Machifu ni upatanishi hasa kuanzia ngazinya familia mpaka ngazi ya mamlaka za juu na mara nyingi uwepo wetu umesaidia kutatua migogoro kwenye jamii zetu.
Naye Dkt. petter Makomara ambaye ni msemaji wa kabila la Wasorwa amesema kuwa
Sisi Machifu wa Mara tunamuahidi Chifu wetu Hangaya ambaye ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan kuwa tutaendelea kulinda amani yetu ili kupunguza matukio ya kiuhalifu kwa Mara.
Kuna rasimu inashughulikiwa ipo Wizara ya Mambo ya Ndani ambayo itatuhusisha sisi Machifu hasa kwenye migogoro na mwisho wa siku tutapunguza baadhi ya matukio ya jinai.
Chifu wa Kiseru Rorya, Msangia Ngoje yeye amedai kuwa kuna watu wanaandika mtandaoni na kutukosea heshima Machifu, wengine tunawafahamu wana laana kweye koo zao huko nyumbani, ndio maana kila siku wanaongelea Dar es Salaam mara Morogoro au mtandaoni na nyumbani kwao hawaendi.
Tunashauri inapotokea matukio ya kijinai viongozi wa kiusalama wa mkoa waje kutufuata Machifu ili tuweze kukemea na kuondoa laana kwenye hizo koo.
Mwisho.
Hawa machifu ni wajinga sana,kwani hawajui kuwa sheria ndio haitambui uwepo wao...fools!
Inasikitisha kuona mambo kama haya yakifanyika in the name of kutaka kukubalika.Umoja wa Machifu Mara umekutana na vyombo vya habari nakutoa Onyo kwa baadhi ya Wanasiasa wanaotoa matamshi ya kuonesha kutotambua umuhimu wa Machifu nchini na kuwasihi watanzania wawaone Wanasiasa hao kama watu wenye nia ya kuvunja umoja wa kitaifa.
Pia soma > Humphrey Polepole: Mambo ya machifu hayana msaada kwa taifa, yanaweza kuleta ukabila na mgawanyiko, yanapaswa kupingwa
Mwenyekiti wa Machifu Mkoa wa Mara, Japhet Wanzagi amesema kuwa kama mnavyojua Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan ndiye mkuu wa Machifu wote nchini kwa jina la Chifu Hangaya sisi kama Machifu wa mkoa wa Mara tumejipanga kumpokea Chifu wetu.
Kuna mtu alikuwa anasema Machifu hawakuwepo, machifu walikuwepo muda mrefu tangu kipindi cha mkoloni. Mtu anayesema Machifu walipandikizwa na mkoloni na wakaondolewa na Baba wa Taifa huyo ni muongo.
Machifu walitolewa kwenye mamlaka ya Serikali lakini walirudi kuwa viongozi kwenye jamii zao, ila katika kipindi cha awamu ya Sita, Rais Samia ametupa heshima sana Machifu.
Majukumu yetu makubwa sisi Machifu ni upatanishi hasa kuanzia ngazinya familia mpaka ngazi ya mamlaka za juu na mara nyingi uwepo wetu umesaidia kutatua migogoro kwenye jamii zetu.
Naye Dkt. petter Makomara ambaye ni msemaji wa kabila la Wasorwa amesema kuwa
Sisi Machifu wa Mara tunamuahidi Chifu wetu Hangaya ambaye ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan kuwa tutaendelea kulinda amani yetu ili kupunguza matukio ya kiuhalifu kwa Mara.
Kuna rasimu inashughulikiwa ipo Wizara ya Mambo ya Ndani ambayo itatuhusisha sisi Machifu hasa kwenye migogoro na mwisho wa siku tutapunguza baadhi ya matukio ya jinai.
Chifu wa Kiseru Rorya, Msangia Ngoje yeye amedai kuwa kuna watu wanaandika mtandaoni na kutukosea heshima Machifu, wengine tunawafahamu wana laana kweye koo zao huko nyumbani, ndio maana kila siku wanaongelea Dar es Salaam mara Morogoro au mtandaoni na nyumbani kwao hawaendi.
Tunashauri inapotokea matukio ya kijinai viongozi wa kiusalama wa mkoa waje kutufuata Machifu ili tuweze kukemea na kuondoa laana kwenye hizo koo.
Mwisho.
Wakati wanachinjana huko Rorya hao machifu walikuwa wapi kutatua Ile migogoro? Washenzi hawa .Kwa mara ya Kwanza ndo nimesikia kuwa hata rorya Kuna chief.
Sent from my Lenovo TB-7305X using JamiiForums mobile app
Umoja wa machifu wa Kitongo MAGU mkoani Mwanza tunaunga mkono tamko.Umoja wa Machifu Mara umekutana na vyombo vya habari nakutoa Onyo kwa baadhi ya Wanasiasa wanaotoa matamshi ya kuonesha kutotambua umuhimu wa Machifu nchini na kuwasihi watanzania wawaone Wanasiasa hao kama watu wenye nia ya kuvunja umoja wa kitaifa.
Pia soma > Humphrey Polepole: Mambo ya machifu hayana msaada kwa taifa, yanaweza kuleta ukabila na mgawanyiko, yanapaswa kupingwa
Mwenyekiti wa Machifu Mkoa wa Mara, Japhet Wanzagi amesema kuwa kama mnavyojua Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan ndiye mkuu wa Machifu wote nchini kwa jina la Chifu Hangaya sisi kama Machifu wa mkoa wa Mara tumejipanga kumpokea Chifu wetu.
Kuna mtu alikuwa anasema Machifu hawakuwepo, machifu walikuwepo muda mrefu tangu kipindi cha mkoloni. Mtu anayesema Machifu walipandikizwa na mkoloni na wakaondolewa na Baba wa Taifa huyo ni muongo.
Machifu walitolewa kwenye mamlaka ya Serikali lakini walirudi kuwa viongozi kwenye jamii zao, ila katika kipindi cha awamu ya Sita, Rais Samia ametupa heshima sana Machifu.
Majukumu yetu makubwa sisi Machifu ni upatanishi hasa kuanzia ngazinya familia mpaka ngazi ya mamlaka za juu na mara nyingi uwepo wetu umesaidia kutatua migogoro kwenye jamii zetu.
Naye Dkt. petter Makomara ambaye ni msemaji wa kabila la Wasorwa amesema kuwa
Sisi Machifu wa Mara tunamuahidi Chifu wetu Hangaya ambaye ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan kuwa tutaendelea kulinda amani yetu ili kupunguza matukio ya kiuhalifu kwa Mara.
Kuna rasimu inashughulikiwa ipo Wizara ya Mambo ya Ndani ambayo itatuhusisha sisi Machifu hasa kwenye migogoro na mwisho wa siku tutapunguza baadhi ya matukio ya jinai.
Chifu wa Kiseru Rorya, Msangia Ngoje yeye amedai kuwa kuna watu wanaandika mtandaoni na kutukosea heshima Machifu, wengine tunawafahamu wana laana kweye koo zao huko nyumbani, ndio maana kila siku wanaongelea Dar es Salaam mara Morogoro au mtandaoni na nyumbani kwao hawaendi.
Tunashauri inapotokea matukio ya kijinai viongozi wa kiusalama wa mkoa waje kutufuata Machifu ili tuweze kukemea na kuondoa laana kwenye hizo koo.
Mwisho.
Inasikitisha kuona mambo kama haya yakifanyika in the name of kutaka kukubalika.
Watu wa MARA notably Wakuria wao wenyewe VITA vya Clanism/Kiukoo haviiishi miaka nenda miaka rudi.
WANYABASI,
WAIREGI.
WAKIRA na vi ukoo vingi na wote hawaelewani. Ni kama maji na mafuta. Kwa kifupi basi hawa watahitaji basi CHIFU wa kila Ukoo. Maana Ukoo mwingine hawatakubali matatizo yao yasikilizwe na Chifu asiye Ukoo wake. Hii ni hatari sana. It is impractical n dangerous. Angalia mfano wa SOMALIA LUGHA ni moja na nchi ni moja ila CLANS/KOO kibao. Hata Ktk uongozi wao ikiwa mtu wa Ukoo wa Isaaq atashika basi hatakubalika na ukoo mwingine kama Darood, Hawiye nk. HAWAELEWANI kabisa. Vita kila kukicha. Sababu tu ya Clanism/Ukoo na kila ukoo una MACHIFU(Akil) nao wameshindwa. Je sisi Tanzania ndo tutaweza? Mh. SSH nenda polepole. Usipokee ushauri potovu. Ongeza na zako basi. La sivyo utalifarakanisha taifa hili na hatimaye kwenda mwendo mbovu kama wa Somalia.
Inawezekana machifu wanatoa ulinzi usioonekana kama ule wa shehe yahya aliomwekea msoga kipindi kileeee, maana hao watu ni ndumba na ulozi kwa kwenda mbele.........Nyerere angekuwa na akili kama za Hangaya, hii nchi ingekuwa na tribalism mbaya kuliko nchi yoyote ya East Africa!
uchifu ni ushetani sababu wanatumia nguvu za giza.Daa nchi ilikofikia nao machifu wameanza kutunisha kibesi lakini tumewalea wenyewe