Cannabis
JF-Expert Member
- Jan 20, 2014
- 11,557
- 33,535
Umoja wa Madaktari wa Kikatoliki nchini Kenya umetoa tamko la kupinga utoaji wa chanjo dhidi ya ugonjwa wa COVID-19 kwa madai ya kulinda afya za watu na utakatifu wa maisha.
Tamko hilo limesema wanaona kuna nia isiyo njema na upotoshaji katika zoezi zima la utoaji wa chanjo dhidi ya ugonjwa huo na kwamba kuna madawa mengi yenye uwezo wa kutibu ugonjwa huo na hivyo kuondoa ulazima wa kuwa na chanjo.
Tamko hilo linaonekana kukinzana na msimamo wa Kanisa Katoliki ambapo Papa Francis ambaye amehimiza waumini wa Kanisa Katoliki kupokea chanjo hiyo pale itakapopatikana.