Hizo Chanjo South Africa wameziacha kwanza,zipo kwenye majaribio once zikipass majaribio hapo Kenya tuziagiza kiasi kwa wanaohitaji.hakika zikiwafaa ninyi aina hiyo tutaangiza hiyo hiyo.kwani huko Kuna wajaluo,wamasai,wameru nk na huku tupo zitakuwa zipass majaribio.Sio Watanzania wote watakuja, ni wale wenye jeuri ya hela, badala ya kufuata dozi Ulaya maana kwa ujinga wenu mumekataa chanjo kama taifa, wao wataona radhi watinge kwenye mataifa majirani na kuhonga ili wapate chanjo, maskini kama wewe ndio mtabaki Mbagalla huko mkiimba uzalendo.
Na tayari kunao Watanzania wameifuata Ulaya, hata rais wenu alilisema hilo, kwamba hao walifuata chanjo Ulaya wamewaletea nyie corona ya ajabu.
Acha ujuwa dose zenye mmesaidiwa 500,000 ni kwa wakunya (una lebal USAID or WHO not for retail sale)
Tanzania covid 19 IPO Ila 90% ya miji yetu hakuna hiyo kitu hatuijui.hiyo chanjo hata ukitaka hakuna wenyewe haiwatoshi acheni ujinga waafrika chanjo mpaka 2023
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app