Confused failed state.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unajitahidi kweli kutetea linchi lako lilofeli hilo,!Kingereza kingereza kingereza, wapi imetajwa hapo kwamba wamepinga chanjo.....kwa hivyo kwako wewe neno "unnecessary" lina maana wamepinga.
Jameni kingereza kinawatesa sana nyie watu...hehehe hadi raha.
Endeleeni kutoa watu wenu kafara huko kwa ujuha wenu huo wa sijui mara mfukize mara mnywe matangawizi na malimau mara muombe mara mpime kondoo na mbuzi.....ujuha uliokubuhu.
Malizia kaka "unnecessary making the motivation suspect"Kingereza kingereza kingereza, wapi imetajwa hapo kwamba wamepinga chanjo.....kwa hivyo kwako wewe neno "unnecessary" lina maana wamepinga.
Jameni kingereza kinawatesa sana nyie watu...hehehe hadi raha.
Endeleeni kutoa watu wenu kafara huko kwa ujuha wenu huo wa sijui mara mfukize mara mnywe matangawizi na malimau mara muombe mara mpime kondoo na mbuzi.....ujuha uliokubuhu.
Kingereza kingereza kingereza, wapi imetajwa hapo kwamba wamepinga chanjo.....kwa hivyo kwako wewe neno "unnecessary" lina maana wamepinga.
Jameni kingereza kinawatesa sana nyie watu...hehehe hadi raha.
Endeleeni kutoa watu wenu kafara huko kwa ujuha wenu huo wa sijui mara mfukize mara mnywe matangawizi na malimau mara muombe mara mpime kondoo na mbuzi.....ujuha uliokubuhu.
Kwa hiyo wewe kwa kaingilishi kako neno unnecessary ina maana wameunga mkono na kuhamasisha jabs?
Hehehe Dayaspora wa Buza asiyejua kingereza, "unnecessary" haijamaanisha wamepinga, kuna baadhi ya watu ambao hawatafuata chanjo maana wako poa kwa kutumia mbinu za kawaida kujitibu. Kuna wale utakuta tumeumwa corona bila hata kujua na ikaondoka yenyewe, labda tulikohoa kohoa kidogo tu basi.
Lakini kwa msimamo wa Tanzania, mumeambiwa muombe huku mkiendelea kupukutika kama mifugo, kanisa lenyewe limetanganza kupoteza wachungaji na watawa wengi, yaani mna ujinga uliokubuhu, kituko cha dunia.
Kufuata chanjo au kutoifuata inapaswa kuwa maamuzi ya mtu binafsi, sio uamuliwe na uongozi wa nchi, sasa hivi Watanzania wenye hela watakuja Kenya kinyemela na kupata chanjo, makapuku kama wewe mliosotea Buza mtaendelea kuimba nyimbo za kizalendo dhidi ya corona.
Tafuta mtu anayejua kingereza ahariri huu utopolo ulioandika hapa, kisha uje upya....heheheheI don't think if there's anybody who will be interested to read such a crap.
The question was; is "unnecessary synonymous to support?"
Tafuta mtu anayejua kingereza ahariri huu utopolo ulioandika hapa, kisha uje upya....hehehehe
Watanzania waje mna dose kiasi gani?kwa population yenu.hata kwa manesi tu hazitoshi.Hehehe Dayaspora wa Buza asiyejua kingereza, "unnecessary" haijamaanisha wamepinga, kuna baadhi ya watu ambao hawatafuata chanjo maana wako poa kwa kutumia mbinu za kawaida kujitibu. Kuna wale utakuta tumeumwa corona bila hata kujua na ikaondoka yenyewe, labda tulikohoa kohoa kidogo tu basi.
Lakini kwa msimamo wa Tanzania, mumeambiwa muombe huku mkiendelea kupukutika kama mifugo, kanisa lenyewe limetanganza kupoteza wachungaji na watawa wengi, yaani mna ujinga uliokubuhu, kituko cha dunia.
Kufuata chanjo au kutoifuata inapaswa kuwa maamuzi ya mtu binafsi, sio uamuliwe na uongozi wa nchi, sasa hivi Watanzania wenye hela watakuja Kenya kinyemela na kupata chanjo, makapuku kama wewe mliosotea Buza mtaendelea kuimba nyimbo za kizalendo dhidi ya corona.
Tafuta mtu anayejua kingereza ahariri huu utopolo ulioandika hapa, kisha uje upya....hehehehe
Watanzania waje mna dose kiasi gani?kwa population yenu.hata kwa manesi tu hazitoshi.
Korona ipo Tanzania hatuungi mkono chanjo isiyo na hakika hata zinakotoka wanazitilia Shaka.
Kwa ukweli WILAYA niishio hatuna tatizo na korona toka dunia ianze.(making the motivation suspect)chanjo ya nini .chanjo ni kwa waaotaka kwenda nje kukidhi mahitaji ya nchi waendazo..tena iwe Sputnik V
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Siku zote hoja hujibiwa kwa hoja na si kwa vioja (viloja).
Assume basi hawajapinga na wame “accept” ila wamesema hiyo kitu ni unnecessary na vaccination campaign might be having suspected motives.Kingereza kingereza kingereza, wapi imetajwa hapo kwamba wamepinga chanjo.....kwa hivyo kwako wewe neno "unnecessary" lina maana wamepinga.
Jameni kingereza kinawatesa sana nyie watu...hehehe hadi raha.