Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 64,960
- 111,265
Kuanzia uvamizi wa Urusi kwa Ukraine uzito na mwitiko wa yale matamko yake ya kulaani vita na vurugu yameendelea kupungua kusikika kwake na kuwa mepesi sana, Trump alipoingia madarakani kipindi cha pili ni kama amepigilia msumari wa mwisho kwenye jeneza la UN kwa kujiondoa au kupunguza ushiriki kwenye mashirika yake na mikataba mingi ya kimataifa ya UN.