Unaposema huku mnakwisha naona ww unajitoa na unauhakika haitakugusa Kwa namna yoyote..!?Mtaendelea kusubiri kila siku umoja wa mataifa uwapazie sauti mpaka lini, huku mnakwisha?
Haya mashirika na taasisi za watu wa Ulaya hawana meno.Safi sana nilikuwa nasubiria ikiwa siku kama hizi zitafika.Acha watu waendelee kuua kwa kigezo nilitumwa au nina madaraka kila mmoja atalia kwa muda wake
Haina haja ya kuwasanua! Waache tu waendelee na kiburi chao,tutawashughulikia wenyeweHii nchi haiko mbali na kilichotokea Nepal, watesi wetu hawataamini kitakachowatokea.
Historia ni Mwalimu mzuri sana, wajifunze kwa wenzao na kubadilika vinginevyo muda sio rafiki kwao.