GE2025 Umoja wa Mataifa Waibana Vikali Tanzania Kuhusu uonevu Kwa LISSU na Mdude Kutekwa

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
TOKA MAKTABA

10 September 2025

TANZANIA DEFENDS ITS RECORD ON HUMAN RIGHTS AT UN HUMAN RIGHTS COUNCIL​

View: https://m.youtube.com/watch?v=vX98Gv4Zw9Q
At the 60th regular session of the UN Human Rights Council, Tanzania’s representative, Mr. Abdallah Saleh Possi, delivered a right of reply defending the country’s human rights record. He reaffirmed Tanzania’s commitment to democracy, accountability, and the rule of law, highlighting reforms in the justice system, women’s empowerment, and legal aid for marginalized groups. He also assured the Council that the upcoming October 2025 general elections will be free, fair, and peaceful..

Source : Mwanzo TV

Summary
On 14 July 2025, five United Nations Special Rapporteurs submitted a joint communication to the Government of the United Republic of Tanzania, demanding urgent answers on serious and escalating human rights violations. These violations centre on the politically motivated arrest and detention of opposition figure Tundu Lissu, the enforced disappearance of human rights activist Mpakaida Ngayai (known widely as Mdude), and the state-directed nationwide blocking of the social media platform X (formerly Twitter). The UN experts raise concerns that these acts form part of a deliberate crackdown on dissent in the lead-up to Tanzania’s October 2025 general elections.

🧠 Analysis
The letter from the Special Rapporteurs is unprecedented in its directness and scope. It accuses Tanzanian authorities of orchestrating a pattern of politically targeted repression through arbitrary arrests, enforced disappearances, digital censorship, and judicial abuse. The timing—just months ahead of general elections—adds to the gravity, suggesting that the Government may be attempting to dismantle opposition operations before the campaign period begins in earnest.
 
17 September 2025

#BREAKINGNEWS! Umoja wa Mataifa Waibana Vikali TANZANIA Kuhusu UONEVU Kwa LISSU na MDUDE Kutekwa

View: https://m.youtube.com/watch?v=SgApzTckEaA
Source : JasusiTV

UN UMOJA WA MATAIFA YASEMA TANZANIA KUPELEKWA MAHAKAMA YA ICC THE HAGUE UHOLANZI IKIWA BARUA YAKE ITAPUUZWA

UN kesi ya Tundu Lissu, kupotea kwa kada Mdude Nyagali, ukiukwaji wa wa haki za binadamu, kuzimwa kwa mitandao ikiwemo X

Barua hii inasisitiza kuna ushahidi kuwa kukamatwa kwa Tundu Lissu ni mbinu chafu za kisiasa

Kupotea kwa kada Mdude Nyangali ni muendelezo wa watu kupotezwa na serikali kushindwa kutoa ripoti za kiuchunguzi watu waliopotea wapo wapi

Wataaalumu hao 5 wa UN Umoja wa Mataifa katika barua yake umetoa maswali 9 yanayotakiwa kujibiwa ndani ya siku 90 na serikali ya Tanzania ..

Maswali hayo 9 ni ...

View: https://m.youtube.com/watch?v=vX98Gv4Zw9Q TANZANIA DEFENDS ITS RECORD ON HUMAN RIGHTS AT UN HUMAN RIGHTS COUNCIL​

At the 60th regular session of the UN Human Rights Council, Tanzania’s representative, Mr. Abdallah Saleh Possi, delivered a right of reply defending the country’s human rights record. He reaffirmed Tanzania’s commitment to democracy, accountability, and the rule of law, highlighting reforms in the justice system, women’s empowerment, and legal aid for marginalized groups. He also assured the Council that the upcoming October 2025 general elections will be free, fair, and peaceful..

Source : Mwanzo TV

Bila aibu balozi anasema mambo ni shwari Tanzania hakuna ubinywaji haki za kuishi, haki za kidemokrasia, haki katika mfumo wa haki jinai ..

Ubalozi na serikali ya Tanzania inadhani yanayotokea na kuendelea nchini kwetu hayaonekani kwenye Youtube, TV, X Twitter, FB, Instagram, blogs, JF, magazeti n.k wala hakuna watu wawakilishi wa balozi za nje zenye makao Dar es Salaam, Zanzibar n.k wanaoona yote kwa macho ya binadamu kinachoendelea nchini Tanzania
 
17 September 2025

#BREAKINGNEWS! Umoja wa Mataifa Waibana Vikali TANZANIA Kuhusu UONEVU Kwa LISSU na MDUDE Kutekwa

View: https://m.youtube.com/watch?v=SgApzTckEaA
Source : JasusiTV

UN UMOJA WA MATAIFA YASEMA TANZANIA KUPELEKWA MAHAKAMA YA ICC THE HAGUE UHOLANZI IKIWA BARUA YAKE ITAPUUZWA

UN kesi ya Tundu Lissu, kupotea kwa kada Mdude Nyagali, ukiukwaji wa wa haki za binadamu, kuzimwa kwa mitandao ikiwemo X

Barua hii inasisitiza kuna ushahidi kuwa kukamatwa kwa Tundu Lissu ni mbinu chafu za kisiasa

Kupotea kwa kada Mdude Nyangali ni muendelezo wa watu kupotezwa na serikali kushindwa kutoa ripoti za kiuchunguzi watu waliopotea wapo wapi

Wataaalumu hao 5 wa UN Umoja wa Mataifa katika barua yake umetoa maswali 9 yanayotakiwa kujibiwa ndani ya siku 90 na serikali ya Tanzania ..

Maswali hayo 9 ni ...

Umoja wa Mataifa wa Bagamoyo?? Yaani ufuatilie mambo ya mropokaji anayataka madaraka kwa KUKINUKISHA uache kutetea watoto wa Gaza??
 
Historia kutuhukumu, ikiwa nchi jirani viongozi wa serikali na vyombo waliitwa the Hague Uholanzi sisi Tanzania siyo kisiwa, muda utaongea.

Panapofuka moshi, maana yake kuna moto unawaka, ni suala la muda tu moto wa The ICC, EU, US, Jumuiya ya kimataifa za wadau wa maendeleo n.k kutangaza hatua ngumu dhidi ya viongozi, maofisa wa vyombo na serikali ya chama dola kongwe ..

TOKA MAKTABA :
04 August 2014

imemuwekea vikwazo Balozi wa Zimbabwe nchini Tanzania bwana Anselem Sanyatwe kwa kudaiwa kuua waandamanaji sita waliokuwa wakipinga Matokeo ya uchaguzi ya mwaka 2018 ambapo kipindi hicho Balozi huyo alikuwa kiongozi mkuu wa kikosi cha ulinzi chini ya Raisi Robert Mugabe.
Aidha Marekani imemuwekea vikwazo hivyo siku chache kabla ya kuanza mkutano wa SADC na amekuwa Afisa wa kwanza wa Zimbabwe kuwekewa vikwazo hivyo na Marekani.

Hawa ndio wale wazee wa kujipendekeza kwa watawala kwajili ya vyeo.

1564921872242.jpeg

Jenerali Anselem Sanyatwe

Soma kwa kina : source :
 
Mtaendelea kusubiri kila siku umoja wa mataifa uwapazie sauti mpaka lini, huku mnakwisha?

..hata wewe hili suala linakuhusu.

..kumbuka yule binti mwanachuo aliyeuwawa hakuwa anahusika, lakini vurugu na kukosa weledi kwa Polisi wetu kulipelea binti wa watu akapigwa risasi.

..pia kumbuka tukio la kuuwawa kwa mwandishi wa habari Daudi Mwangosi. Tukio hilo lilitokana na ubabe, vurugu, na ukatili wa Polisi, na matokeo yake yaliwaathiri mpaka ambao hawakulengwa.

..Na uovu wa Polisi usifikiri utaishia kwa wapinzani tu. Hata wasio wapinzani wanaweza kuathirika na utamaduni wa kihalifu wa Polisi kama ilivyotokea kwa wafanyabiashara waliouawa na kudhulumiwa fedha zao. Utakumbuka yule askari aliyemtishia bastola Nape Nnauye baadae alihusika ktk tukio la mauaji ya mfanyabiashara.
 
Back
Top Bottom