Sol de Mayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 6,515
- 6,230
Zinaa itaongezeka maradufu,
Ni heri dawa isipatikane ili watu waache uchafu.
Ni heri dawa isipatikane ili watu waache uchafu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani Ukimwi umalizike kwa staili hiyo?mi nikajua chanjo au dawa ipo waanze kupewa wagonjwa
Je, inawezekana mtu akalala na mwenye UKIMWI tena peku na asipate UKIMWI?Weka huo uzi hapa.
Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa limeidhinisha azimio la kisiasa, la kuyamaliza maradhi ya UKIMWI ifikapo mwaka 2030. Kulingana na azimio hilo wanachama wa baraza hilo kuu wameahidi kupunguza kiwango cha maambukizi mapya ya virusi vya UKIMWI hadi 370,000 na vifo vitokanavyo na UKIMWI hadi chini ya 250,000 kwa mwaka ifikapo mwaka 2025.
Mkurugenzi Mkuu wa Mpango wa pamoja wa Umoja wa Mataifa kuhusu UKIMWI, UNAIDS, Winnie Byanyima amesema bado mataifa mengi hayajafikia ahadi zao na kuonya janga la COVID-19 linaweza kuibua upya janga la UKIMWI. Mataifa wanachama yamekubaliana kulimaliza janga hilo kwa kuwafikia asilimia 95 wa watu wanaoishi na VVU, asilimia 95 ya usambazaji wa dawa za kufubaza makali ya VVU na asilimia 95 ya watu wenye virusi sugu dhidi ya dawa.
Zinaa itaongezeka maradufu,
Ni heri dawa isipatikane ili watu waache uchafu.
Hivi ushawahi soma mijadala ya mkuu wa kuitwa Deception? Kama bado nakushauri umsome kwanza, kuna link nimeweka post #32.Ni vizuri ikipatikana. Tutaokoa watu wengi na þpesa zinatotumika kutibu wagonjwa,nguvu kazi inayopotea, itapunguza watoto yatima, familia nyingi kuvurugika.
Bado kutakuwa na magonjwa mengine mengi tu ya zinaa kwa wasiokuwa na tahadhari.
Kwa hiyo unaamini kabisa kuwa majanga huwafanya watu waache maovu? Basi dunia ingeshakuwa na watakatifu kila kona na dhambi ingekuwa historia.Zinaa itaongezeka maradufu,
Ni heri dawa isipatikane ili watu waache uchafu.
Eti wameuweka?!?!?Aise waumalize tu maana huu ugonjwa wameuweka sehemu mbaya sana🤪🤪
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huyu ashukuriwe
Alinifanya niipate raha ya dunia kwa kuniifanya niachane na matumizi ya condom kisa ukimwi
Tangu hapo napeta tu kavu kavu nyama kwa nyama mtelezo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Walikwenda kijijini kufundisha watu jinsi ya kuvaa kondom, ikawa muelekezaji anavaa kondom kidole cha kati huku akisema ukitaka kulala na mama kwanza fanya hivi,
Baada ya miezi sita katika ufuatiliaji wao wakagundua kuna nyumba moja mwanamke
Ni mja mzito, wakamuuluza mumewe kwani hukufuata maelezo yetu? Mume akajibu kuwa hakuna siku ambayo sikufuata katika hii miezi sita, wakamuuliza ulikua unafanyeje? Akasema kila siku nikilala na wife ni lazima nivae kondom kidole cha kati,
Kumbe jamaa alielewa kama walivyoeleza
Anavaa kidoleni anapiga vitu,
Hapo ndio nikagundua lengo lao ni kuzuia watu wasizaliane
Kweli mkuu yaani ukipiga shoo ya kavu kavu tuu, hofu inatanda miezi kadhaahii si biashara ya watu, wameridhika kwakwel
tunakoseshana utamu kijinga kisa hili gojwa bora lieshe tu.
maisha yamekua ya mashaka sn ukiuza mechi sehemu zisizo rasmi.