Umoja wa Mataifa wakubaliana kumaliza UKIMWI ifikapo 2030

Zinaa itaongezeka maradufu,

Ni heri dawa isipatikane ili watu waache uchafu.
 

Hii ni habari mbaya sana kwa ile mipinga chanjo za Corona ambayo aghalabu ni suala la hiari.

Iliko hivi sasa itakuwa inatweta kwa hasira, miwakala miaminifu ya iziraeli mtoa roho za watu.

Roho za kimaskini tu.

Mshindwe na mtepete!
 
UN, dunia ikiwa serious wanaweza kabisa inaweza kulimaliza hili janga kabla ya 2030.

Angalia pesa na manpower zilizotumika, ushirikiano na campaign dunia nzima kuelimisha juu ya COVID-19. Ndani ya mwaka mmoja, chanjo zimepatikana.

Nguvu hiyo hiyo ikitumika Dunia inaweza kulitokomeza hili janga.
 
Zinaa itaongezeka maradufu,

Ni heri dawa isipatikane ili watu waache uchafu.

Ni vizuri ikipatikana. Tutaokoa watu wengi na þpesa zinatotumika kutibu wagonjwa,nguvu kazi inayopotea, itapunguza watoto yatima, familia nyingi kuvurugika.

Bado kutakuwa na magonjwa mengine mengi tu ya zinaa kwa wasiokuwa na tahadhari.
 
Ni vizuri ikipatikana. Tutaokoa watu wengi na þpesa zinatotumika kutibu wagonjwa,nguvu kazi inayopotea, itapunguza watoto yatima, familia nyingi kuvurugika.

Bado kutakuwa na magonjwa mengine mengi tu ya zinaa kwa wasiokuwa na tahadhari.
Hivi ushawahi soma mijadala ya mkuu wa kuitwa Deception? Kama bado nakushauri umsome kwanza, kuna link nimeweka post #32.
 
Zinaa itaongezeka maradufu,

Ni heri dawa isipatikane ili watu waache uchafu.
Kwa hiyo unaamini kabisa kuwa majanga huwafanya watu waache maovu? Basi dunia ingeshakuwa na watakatifu kila kona na dhambi ingekuwa historia.

Tatizo sio majanga. Tatizo ni moyo wa mtu. Na haubadilishwi kwa matisho wala majanga.

Inabidi Mungu mwenyewe aufanyie operation ndio mtu anabadilika.

Yeremia 17:9
"Moyo huwa mdanganyifu kuliko vitu vyote, una ugonjwa wa kufisha; nani awezaye kuujua?"

Yakobo 1:13 - 15
"Mtu ajaribiwapo, asiseme, Ninajaribiwa na Mungu; maana Mungu hawezi kujaribiwa na maovu, wala yeye mwenyewe hamjaribu mtu.

Lakini kila mmoja hujaribiwa na tamaa yake mwenyewe huku akivutwa na kudanganywa. Halafu ile tamaa ikiisha kuchukua mimba huzaa dhambi, na ile dhambi ikiisha kukomaa huzaa mauti"

Na dawa ni Yesu pekee, hakuna nyingine

Wakolosai 1:12 -15
"...mkimshukuru Baba, aliyewastahilisha kupokea sehemu ya urithi wa watakatifu katika nuru. Naye alituokoa katika nguvu za giza, akatuhamisha na kutuingiza katika ufalme wa Mwana wa pendo lake;

ambaye katika yeye tuna ukombozi, yaani, msamaha wa dhambi; naye ni mfano wa Mungu asiyeonekana, mzaliwa wa kwanza wa viumbe vyote"
 
Huyu ashukuriwe
Alinifanya niipate raha ya dunia kwa kuniifanya niachane na matumizi ya condom kisa ukimwi
Tangu hapo napeta tu kavu kavu nyama kwa nyama mtelezo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sisi tunaokaa na waathirika tumeona mengi maana waliumwa nusu ya kufa Arvs ndo zilikuwa mkombozi wao, mwingine tumezika tayari ila aliyebaki kila Leo kinga zipo chini, tumejitahidi chakula kizuri lakini wapi nadhani huu ugonjwa huwa unacheza na group LA damu la mtu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hii si biashara ya watu, wameridhika kwakwel
tunakoseshana utamu kijinga kisa hili gojwa bora lieshe tu.
maisha yamekua ya mashaka sn ukiuza mechi sehemu zisizo rasmi.
Kweli mkuu yaani ukipiga shoo ya kavu kavu tuu, hofu inatanda miezi kadhaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…