Umoja wa Mataifa wasitisha shughuli zake nchini Niger

Umoja wa Mataifa wasitisha shughuli zake nchini Niger

BARD AI

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2018
Posts
3,591
Reaction score
8,826
1690528924752.png
Uamuzi huo unakuja saa 24 baada kikundi cha Wanajeshi kumuondoa Rais Mohamed Bazoum kwa kile kilichoelezwa kuwa ameshindwa kusimamia Uchumi wa Nchi pamoja na hali mbaya ya Usalama.

Pia, Katibu Mkuu wa UN, Antonio Guterres amelisihi Jeshi limwachie huru na bila masharti, Rais Bazoum ambaye amewekwa kizuizini tangu kufanyika Mapinduzi hayo.

Taarifa kutoka kwa Waziri wa Mambo ya Nje wa Ufaransa zimeeleza kuwa Rais Emmanuel Macron amezungumza na Rais Bazoum na kuthibitisha kuwa yuko salama kiafya.

============

The United Nations says it has suspended its humanitarian operations in Niger, after soldiers announced the overthrow of the country’s elected president.

It says more than four million people in the country are currently in need of humanitarian assistance.

UN Secretary-General Antonio Guterres demanded the immediate and unconditional release of Niger’s President Mohamed Bazoum, who is being held captive by military officers.

The French foreign minister has said President Bazoum spoke to President Emmanuel Macron early on Friday and told him that he was "reachable" and "in good health".

BBC
 
Hawa wa kwetu ni kukimbiza tu mwenge saa ngapi watawaza kupindua serikali wakati ili uwe na kacheo kakubwa kidogo ni lazima uwe mwanachama wa ccm maanake unaweza kuteuliwa kuwa mkuu wa mkoa, wilaya au hata Ras na ili uteuliwe kwa hivyo vyeo lazima uwe mwanachama wa ccm.

Sasa hata hiyo akili ya kupindua wataitoa wapi na saa ngapi.
 
Nchi za Western Africa huwa hawachelewi Mapinduzi kama rais anazingua[emoji3][emoji3]
Huku wengine wamelogwa na kulogeka na kuishia kulalamika kwenye keyboards tu miongo kwa miongo[emoji1787][emoji1787]
Washarogwa na Moshi wa mwenge[emoji28]
Zindiko kuu la chama tawala[emoji4]
 
Back
Top Bottom