Sexer
JF-Expert Member
- Oct 22, 2014
- 8,440
- 8,149
hamna hata mara moja bali viongozi wa afrika huenda kule kwao kuwaita na ndo maana kauli za viongozi wa afrika husema 'tunajenga mazingira mazuri ili kuvutia wawekezaji ili waje wawekeze nchini' hivyo basi kumbe huandaa mazingira na kwenda kuwaita waje huku wakiwashawishi 'kule kwetu bana kunamazingira mazuri sana'Ni mara ngapi viongozi wa nchi za magharibi wanatembeza bakuri la kutafuta fursa za uwekezaji Afrika?
nchi za afrika ziko katika mashindano ya kusababisha wazungu waje wawekeze kwao